PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,294
I smell Marketing activitiesOmba Mungu akuongoze upate kama akina sie tulio na upendo wa kweli tukipenda.
I smell Marketing activitiesOmba Mungu akuongoze upate kama akina sie tulio na upendo wa kweli tukipenda.
Swali zuri sana...ataje bei watu tumgegede.Sawa, kwahiyo unauza sh. ngapi wadau tupande bei?
sio wote wapo hivyo, hata wanaume wapo wahongaji na wasiohongaI smell Marketing activities
Mmmmh, nitaelewa asubuhi. [emoji42]sio wote wapo hivyo, hata wanaume wapo wahongaji na wasiohonga
we inaonekana ombaomba sana, siku nikipata dame dizaini yako sijui kama tutamaliza hata mwezhMmmmh, nitaelewa asubuhi. [emoji42]
hahahahh, nakumbuka wakati nakua kuna familia mtaani baba alikuwa yanga mama simba.. kipindi kile simba wapo vizuri, mzee alikuwa analala mapema.. ushabiki huu
Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
Hapo sasa nimekuelewa,you tried to be neutral, hivyo ndivyo unatakiwa uwe. Haya nambie mtanichaji ng'ombe wa ngapi kama mahari manake sisi huwa tunatoa ng'ombe tu(Kidding)[emoji39] [emoji39]
mkipata hela haya maneno ya true love huyeyuka! mnakula bata wife anachungulia tu status za whatsapp hatakaa aitwe
I smell Marketing activities
ushabiki unakuwa siku ya mpira.. redio inawekwa barazani wote wanasikiliza.. yanga anafungwa.. baba anainuka taratibu anaenda ndani.. siku hiyo chakula kinapita kwa tabu sana..sipati picha nikiwa na wewe.. utanipa shida sana we mwanamkeEeeh mie sikuambii kati ya hizo ipi timu yangu,Ushabiki mzuri unatupotezea kusikiliza ya sio ya utanisoma tu humu siku moja kama bado. Muhimu na kupunguza kutofautiana ndani ya nyumba kwa vitu vidogo vidogo...dk tano mtu unazotoa kushabikia zinaweza kuwa zimeepusha makubwa na kutuliza roho ya mtu kuwa na furaha...hii ni ukiwa mshabiki mwenye roho nyeupe kama mimi.
Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
Omba Mungu akuongoze upate kama akina sie tulio na upendo wa kweli tukipenda.
Hongera kama ni kweli mkuu
Hahaha jitaidiAsee napenda watu dizaini yako mana najua hata KisamVu siwezi kosa..njoo sirini(PM)
[emoji85]Ha ha ha. Daah, umeongea kwa msisitizo na hisia kweli mkuu. Njoo mimi nitakupa. Wasikutese mtoto wa watu. Unataka Tshs/USD ngapi?
So wanaweka mzigo mezani ndo kyupi kinavuka sio??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
UTAKAPO WASHWA MWENYEWE UTAMTAFUTA MWANAUMEDuuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]