Langu la rohoni

Langu la rohoni

Usiponiogopa sitokukataa,ila nilitoa pendekezo tu...

15080_538769789468406_1971605213_n.jpg

ha,ha,ha,...uwiih hatimaye leo umeamua kujitokeza hadhalani kwa mara ya kwanza
 
Kaka si unajua niko katika mchakato wa kutafuta mwenza,na hapa nashukuru nishampunguza Filipo kwenye mashindano kinachofatia ni kumpiga majungu Ngalikihinja mpaka naye ajitoe kwenye mchakato,na wakati huohuo naomba wakati ndio sasa asikaone haka kamchumba...
 
Last edited by a moderator:
Umejificha wapi wewe?

Mpendwa Magic,naomba nijitambulishe kwako.
Kwa jina naitwa Bishanga Abashaija,
Makazi yangu ni Masaki kwenye li apartment langu,
Naendehsha li vogue na li cadillac,yote ni magari yangu,
Of course nina saa ya rolex,
X mass? X mass nitaisherehekea Melbourne Australia na friends,
Kazi: biashara, i bank with citibank.
Una swali la nyongeza? Kama unalo muulize secretary wangu Kongosho.
Una tatizo na cv yangu au niendelee .....?????
 
Mambo mwaya!? Unajua kuna mimi ukiniona unanipenda tu bila hata maelezo!? Achana na masharobaro!

Haya Filipo naona na ww una sura ya mauzo sasa mi ctakufaa maana mi sinaga mauzo mwaya
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu. . . . . . . .
Jaman jaman kuna WANAUME wengne wanapenda sifa sana
Yani hawajui hata kutongoza. . . . . . .

Siku ya kwanza 1 kukutana nae badala ya kuanza kusema shida yake utasiki ooh mi naitwa Mr flan hapa kote wananfaham nna chumba na Tv ooh mara nna magari na kiwanja mbezi najenga sa inahusu kumbe hana kitu. . .

Jaman wanaume jirekebishen sifa sio nzuri mtakuja kuumbuka gia zenu sio nzuri. . . . . . .

Hilo ndo langu la rohoni wewe je lako lipi

Wewe uliyeandika hapo ni mwanamke au mwanaume?
 
Kaka si unajua niko katika mchakato wa kutafuta mwenza,na hapa nashukuru nishampunguza Filipo kwenye mashindano kinachofatia ni kumpiga majungu Ngalikihinja mpaka naye ajitoe kwenye mchakato,na wakati huohuo naomba wakati ndio sasa asikaone haka kamchumba...
nahisi we ni kati ya wale wanaotongoza kwa kutaja matatizo ya mshindani
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu. . . . . . . .
Jaman jaman kuna WANAUME wengne wanapenda sifa sana
Yani hawajui hata kutongoza. . . . . . .

Siku ya kwanza 1 kukutana nae badala ya kuanza kusema shida yake utasiki ooh mi naitwa Mr flan hapa kote wananfaham nna chumba na Tv ooh mara nna magari na kiwanja mbezi najenga sa inahusu kumbe hana kitu. . .

Jaman wanaume jirekebishen sifa sio nzuri mtakuja kuumbuka gia zenu sio nzuri. . . . . . .

Hilo ndo langu la rohoni wewe je lako lipi

Na mimi langu rohoni ni kwa wadada kama nyie mnaotongozwa gizani halafu mwaja kuyamwaga hadharani, inahuu?
Mkaka wa watu kakuona wewe wa kushobokea TV na deki, akakujina na swaga hizo, ungekuwa mtu ujiko mimi ningekuambia nafanya kazi The Afrikan, miksa ni Editor in Chief pale, kumbe mdananda tu. Heshimu faragha we mdada, unafikiri yote unayojadili na mabwana zako, mizinga unayowapiga na kadhalika ingekuwa inawekwa JF ungekuwa na pa kukatiza wewe?
Laanakum...
#LanguRohoni #
 
Masikin pole sana au limekugusa nini? Kama kitu hujaelewa uliza co unaandika alaf hi ni sehem ya kuelimishana kupeana ushauri na mengine ka uliona sio ungepiga kimya umecomment umeipenda
 
Limenigusa ndio, si umesema kila mtu anatoa lake la rohoni?
Sasa usinzibe mdomo...
 
Back
Top Bottom