Lamu na lahaji zake

Lamu na lahaji zake

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,230
Reaction score
9,359
nimekuwa hapa mombasa kwa kipind kirefu pia nakaa na lamu,nilichogundua kwa miaka sita yangu katika jiji hili ni utofaut wa lahaji ya watu wa lamu, , , , , , maji=mayi moja=moya viatu=ziatu njoo=ndzo njaa=ndza na mengine mengi mengi
 
Back
Top Bottom