Lameck Airo Vs. John Mashaka..Rorya 2015

Lameck Okambo Airo alibaka ubunge na ukweli ni hawezi ubunge kwani hata ukimuuliza maana na kazi ya mbunge hatokupa jibu kamwe! Yule alitumwa na Lowassa ili kumsaidia Lowassa kutimiza ndoto zake 2015! Hutaki unaacha na ukweli ndo huo....!
Jacoduogo2 muone jamaa yako hapo juu Narubongo aka Airo hataki kuusikia huu ukweli anasema ni unafiki!
 
Last edited by a moderator:

Lowasa amtume ili iweje? Kama Lowasa akigombea 2015 atapita kutokana na utendaji wake siyo kama ww unavyotaka kutuaminisha! Na hizo ndoto ni zako Lowasa hajatamka hilo.
 
Unakumbuka lile sakata la yeye (lameck Airo) kulalamikia viongozi wa chama chake kumwekea kauzibe asilete maendeleo jimboni nao wakaufyata? Rorya ni zaidi ya unavyoifahamu...usije shangaa 2015 anarudi bungeni...wewe na mimi hatufahamu
Hakuna Mkurya anayekaa rorya kuna Wasuba, Wakurya hatuan tabia ya kununuliwa Chambili alifirisika
 
Msizungumzie hilo Lameck ni darasa la saba,katiba mpya tunayotarajia ni kuwa kuanzia uchaguzi ujao ili ugombee ubunge angalau uwe na digree ya kwanza sio mbunge kung'aa ng'aa macho na kuonesha uwezo mdogo kupambanua mikataba mikubwa kwa maslahi ya nchi,wengine wanaingizwa chaka na kusaini mikataba kwa kukosa elimu bora mwishoe mnasema walipewa rushwa au ufisadi kumbe masikini waliingizwa mkenge kwa kuto-forecast mbeleni inakuaje.
 
kwa nyepesi ninazozipata ni kwamba uenda mashaka anaweza kuwa fisadi. kijana miaka chini ya 35 atawezaje kujenga majumba matatu ya kifahari kwa mkupuo kwa $3.5million? mashaka ana majumba matatu makubwa sana kwenye eneo la hekari 15 bahari beach ukielekea mbweni ambayo inaelekea kuisha. kwa maana hiyo sidhani anaweza kukaribishwa chadema. CDM haitaki watu wenye ulakini na vipato vyao au mafisadi. ni bora atuonyeshe chanzo cha hela zake. nimekuwa nikimfagilia kutokana na umahiri wake wa kuilemisha umma kwenye maswala ya kiuchumi, ila pia kutujengea imani sisi wapiga kura wake wa mbeleni, ni bora akaelezea umma chanzo cha fedha zake

Lameck aligusa nyoyo za watu na hata kumshinda mpinzani wake mkubwa Prof. Monyo. Lameck alitoa kituko cha mwaka, kwa kusema kwamba, Darasa la saba mpo??? basi umati mkubwa ukaitika tupo... Basi hiyo ndio ikawa signature yake kwenye kampeni.......Darasa la saba ukawa ndio wimbo wake. ....
 
John Mashaka aka N....... wa JF

IMG_2228.jpg
 
siyo mbaya dogo akimega hicho kifaa cha ukwee. wote si ni macelbs na hela wanazo?
mzee wa magazeti na tv si alishatema longi? madam analipa sana bado, ingawa ni pasua kichwa. ila siasa na malavidavi hazichanganywi
John Mashaka aka N....... wa JF

IMG_2228.jpg
 
Lilikuwa kosa kubwa kwa wanaRorya kumpa Lameck ubunge, sasa anautumia ubunge kama mwamvuli wa biashara zake.
 
Hakuna Mkurya anayekaa rorya kuna Wasuba, Wakurya hatuan tabia ya kununuliwa Chambili alifirisika

mkuu Murrah Rorya kuna wakurya pia japo ni wachache. Pia kuna wasimbiti ambao wanashabihiana na wakurya kwa kiasi kikubwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom