Lamborghini langu hili hapa

mmmmhhhh Ivunga naona X-MASS presents zimeanza kuingia mapema haya bwana..
 
unataka kusema una zawadi nyingine ya ticket ta kwenda kuangalia car racing ??
duuuhh ndugu yangu ka unayaziada usisahau kipandee hii asante
hahah lol
 
Duuuhh ndugu yangu ka unayaziada usisahau kipandee hii asante
hahah lol

hahahhah!! Ngoja ni kupm tuongee vizuri..some time inabidi utoke kivingine au unasemaje?
 
unataka kusema una zawadi nyingine ya ticket ta kwenda kuangalia car racing ??
duuuhh ndugu yangu ka unayaziada usisahau kipandee hii asante
hahah lol

hii hapa vipi?
 
hahahhah!! Ngoja ni kupm tuongee vizuri..some time inabidi utoke kivingine au unasemaje?

mmmhhhh kwakeli we ukipeleka kwenye car racing mambo mengi yatakuwa "ndio mzee" hahahahh lol
 
mmhhh ni gari lina matairi..

hayo majini ya kigeni ni magumu sana ..
unaweza kunitafsiria ?

Hayo ni majina ya modeli za Lamborghini. Sasa sijui kama yanazo tafsiri zake kwa Kiswahili. Tusubiri wadau wengine pengine anaweza kuwepo anayejua.
 
mmmmhhh haya bwana..
 
Hivi lamborghini kwa kiswahili inaitwaje vile???

hahahaah lol nilizani ni mi tu naoana hii lugha ya wageni ni ngumu lol
na dhani inaitwa Lamboriginii.......
mmmhhh au muulize Tigger hapo juu naona ye mtaalum lol
 
Kwani Land Rover au Scania kwa Kiswahili yanaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…