Lakini Yana Mwisho Haya...!


tujifunze pia kuishi na ndugu na majirani kwa upendo
 
pale sio sehemu salama hata kidogo, na hakuna asiyejua ila hakuna dalili ya kuondoa hawa waarifu
 
AK, do you know the person? your questions were directed as if you know the person who was involved in this issue!!! Plse light it up to us!!
 

Ni Serikali ambayo haifanyi lolote katika kuhakikisha usalama wa raia wake nchini kote. Mambo haya ya wasafiri kuporwa na majambazi yanatokea kila mwaka lakini hadi leo hii Serikali haijachukua hatua zozote kupambana na majambazi hayo yanayowanyayasa Watanzania kila wakati na wakati mwingine hata kuchukua uhai wao. Angalia ile kesi ya Muro ilivyopewa kipaumbele na hata Pinda kutaka uchunguzi uharakishwe lakini hawa waliodhulumiwa mali zao na Majambazi hawana pa kukimbilia na wala hutamsikia Pinda atamke kwamba uchunguzi wa tukio hilo uharakishwe au ulinzi katika barabara mbali mbali nchini uongezwe ili kuwalinda wasafiri. Priorities zetu zimekaa kinyume kinyume kutokana na kuwa na Viongozi wasio na vision katika kuwaongoza Watanzania na kuhakikisha usalama wao na mali zao.
 
ah ah ah ah twin u made my deiiiii,I like it

senks twin!!!

Noted mzee wa busara

oooooh akili unyayoniiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!

the most inteligent basi nirekebishe kauli.....

great thinker mkabaji??

hahaaaaaaa!!! kasema it needs a great mind to....................kwa hiyo kama humwelewi that means ur mind is..........................
 
hahaaaaaaa!!! kasema it needs a great mind to....................kwa hiyo kama humwelewi that means ur mind is..........................[/QUOTE]

hamna kitu anaonekana jealous watu wakimpita juu ya mikoko yao au wakila batait anaonekana linamkwama,ndo walewale.
 

msingi ukishaharibika mwenye haki atafanyanini tatizo hapa ni misingi imeharibika misingi ya nchi imeharibika ndo sababu ya maovu yote.
Ole wako nchi wakuu wako wakiwa ni waovu
 
Poleni sana...itabidi tuwe tunaruhusiwa kutembea na silaha sasa!!!!
 
Poleni sana...itabidi tuwe tunaruhusiwa kutembea na silaha sasa!!!!

........Kama unaenda safari ya mbali na hujatumia public transportation una usafiri wako binafsi mie naona silaha itakuwa muhimu kwa mtindo huu.
Binadamu siku hizi si wema hata kidogo, kuna baadhi ya binadamu wanafanya vitu utafikiri mnyama vile.
Pole yao walioporwa vitu, nafuu wamewabakishia roho zao.
 
ni sawa unayosema lakini si unakumbuka yaliomkuta swetu?katembea na panga kwaajili ya kujilinda tu,lakini wale wajeshi walipoona panga ndio wakapata sababu ya kumuua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…