Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Wanasema kila mtu ana haki ya kukosea, muache binti afuate moyo wake atajifunza kwa njia.
Najua inauma kwa umpendae kupotea, lakini hakuna mwalimu mzuri kama mwalimu dunia.
Naamini wewe pia ulipata nafasi ya kukosea, kiasi kwamba kuna muda matendoyo wayajutia.
Kikubwa ni kuwa naye karibu mapenzi kumuhakikishia!