lakini binti alia, aachwe tu wabanane.............

lakini binti alia, aachwe tu wabanane.............

Rutashubanyuma sikuiona mkuu wangu
Kukutupa mtu kama wewe
Ni kutupa kilo cha thamani
Ni wazi lilinipita la kupita
Taarifa sikuziona
Uwapo na moyo wa upendo
Kusamehe ndili la maana kwako

Mr Rocky chungulia wasifu wangu......
 
Last edited by a moderator:
Wapi Ruta! Kutokana na maisha yalivyo magumu mlo wenyewe mmoja kwasiku au hata watu siku nyingine wanatingishia kwa usawa huu wa Baba Mwanaisha hata hiyo inachangia kuharibu mzunguko wa maisha ya binaadamu!

Ndallo isije ikawa ile shopping uliyoniambia jana na makinda umewawekea hesabu yao...............
 
Last edited by a moderator:
Namdediketia songi la Dully Sykes - Baby Candy!!!!

Mentorusimpe hizi zangu..........................kwani haki zote zimehifadhiwa.....................lol
 
Last edited by a moderator:
Haya makitu ukianza, shule huiwezi
Wachache sana

Kongosho yanakufanye uuchape, hivi ukijua yuko wakukubeba..................au kukuwezesha........lol
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe bwana. Malenga yako huwa magumuuu. Muache akabanane manake anaona anapunjwa huyo, wacha dunia ikamponze

King'asti wamaanisha mtoto akililia wembe mpe ajikate mwenyewe...........lakini damu inapoanza kumchulizika......................atakukimbilia tu...........kisa damu ni nzito kuliko malenga..........
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hii tamu sana natamani ningelisoma kipindi kile niko pale shule nafundisha Fasihi, lingenifaa sana, maana vile vitoto vilikua as if vimetia pilpili.....yaaani ni kungonoka kwa kwenda mbele

Elli labda utoe mafunzo ya nasaha.........
 
Last edited by a moderator:
Ndio kamanda haswaaa hawa ndio wanaonitoa roho!
[MENTION]
Ndallo[/MENTION] kumbuka hauko pekee yako khalkhala wasije kukuingiza mtandaoni................mie nikaambulia kazi ya kukuuguza tu.........
 
Nimeshaingiwa na wasiwasi kuwa Raila na kundi lake wanaweza kupigwa chini. In short kenya wananifurahisha.

prianka hivi kumbe mishipa ya damu siyo mifupa ni misuli mitupu, sikujua?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom