Laki si Pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laki si Pesa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mayenga, Jan 25, 2012.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280


  John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

  Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

  Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"

  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
   
 2. Terminator

  Terminator Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ya leo kali
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  The same joke again! Wewe ni wa nne kuirudia hii
  katika jukwa hilihili utadhani hakuna joke nyingine...
   
 4. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  DUH big up,kama messi
   
 5. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Hahaha, imetulia ila jamaa atamlaje shem wake?
   
 6. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dah hii joke kila siku wana renew
   
 7. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  But Don't try it at home. Mademu wengine hawakawii kujitoa muhanga. Utakuja kukojoa dagaa Mayenga weye.
   
 8. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh!! hii kali..
   
 9. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yaani ni inabadilishwa tu title nishachoka nayo
   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  halafu wala haichekeshi sijui wameipendea nini
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hopeless...
  mods wapo wapi bana;joke inarudiwa kila wiki...
  Aaaaaaaarghhhhhhhhhhhhh!!!!
   
 12. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sasa uvivu wa kupita jukwaa hili utanianza, maana kurudiwarudiwa tuuuuuuu ahaa...~~~
   
Loading...