Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
laki si pesa ana majibu ya karaha sana siasani
laki si pesa ni anahasira ameukosa ukuu wa wilaya sababu hana mzigo wa kumshawishi mkulu
Nikiwa kama ndugu wa karibu wa shy land napenda kukutalifu ID ya shy land hutoiona tena. labda aje na ID nyingine. thanks
Nikiwa kama ndugu wa karibu wa shy land napenda kukutalifu ID ya shy land hutoiona tena. labda aje na ID nyingine. thanks
Kwani huwa ni mwanamke?
hahahaha usiombe umkute kwenye ubora wake sasa.. Mpwa ananifurahishaga sana
Nini kimempata huyo ngosha???
laki si pesa anahasira ameukosa ukuu wa wilaya sababu hana mzigo wa kumshawishi mkulu
Mpwa noma, harafu ana madini ya airport, mara Salenda Bridge, mara ocean road, mara NSSF Arusha, dah! Jamaa noma.
Nikiwa kama ndugu wa karibu wa shy land napenda kukutalifu ID ya shy land hutoiona tena. labda aje na ID nyingine. thanks
kila watu walikuwa wanataka kutufananisha lakn ukweli ni kwamba huyu ni ndugu yangu anafanya kazi zake dar! kwa taarifa alizonipa kulikuwa na thread kuhusu upotosha wa kifo cha bibi yetu mary nyerere.
yeye akakome kimuzaha kwamba ccm inahusika kalabwa lifeban