bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,379
- 2,392
Nna 180, 000tsh.
Naweza kupata tecno ya aina gani dukan?
Ahsanten.
Naweza kupata tecno ya aina gani dukan?
Ahsanten.
Ingia katika mtandao utakuta aina za simu na bei zake. Mfano: ZoomTz alafu utaenda madukan utalinganisha bei tu.Nna 180, 000tsh.
Naweza kupata tecno ya aina gani dukan?
Ahsanten.
hapo atapata bila shida na atafurahia kameraTecno wx4, wx3
nimecheka sanahapo atapata bila shida na atafurahia kamera
Ntawaza nini tenaMbona unawaza tu Tecno.
Poa poa mkuuTecno wx4, wx3