Laiti viongozi wetu wangeweka ubunifu kwenye kuendeleza masomo ya Sayansi na Hisabati kuanzia O-level hadi A-level

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Nguvu ingeanza kuelekezwa kutafuta wafadhili na kuwa na mashindano ya some la hesabu na sayansi kuanzia O level mpaka A level.

Washindi wa watatu wana pata nafasi ya kwenda kuongeza vipaji kwenye za vipaji maalum hata South Africa.
 
Ilishakuwepo saana.. Nilimaliza Kidato cha nne 2013 na huo mtihani tuliufanya
 
Siku hizi ule msemo wa serikali yangu sikivu umeisha

Tunabana matumizi ili kuendeleza miradi mikubwa huo ndio uzalendo,huu ushauri mwingine ni porojo
 
Ilishakuwepo saana.. Nilimaliza Kidato cha nne 2013 na huo mtihani tuliufanya
Na washindi walipata zawadi gani? Ninachoongelea ni kuwa mshindi wa O level apart scholarship ya A level kwenye shule nje ya nchi na mshindi wa A level spate full scholarship ya degree mahusiano au hata bondeni
 
Wa Kwanza alitakiwa Aende Algeria ila haikuwa hivyo.. Nilikuwa wa Pili Niliishia Kupewa 50K
 
Si ndiyo ninasema zingekuwepo zingewapa vijana ushindani, exposure na ile ego ya kupata scholarship.
but what i do think, serikali iwekeze katika elimu yenye practical zaidi kuliko Nadharia... Hasa Fizikia, Kemia na Bailojia.. somo kama Mathematics ni somo la kulizoea halihitaji ugenious just Practising..
 
Yah saynsi inamaanisha lab zenye vifaa.
 
Kabisaa.. Nawahurumia hawa Madogo wanaoenda kufanya CSEE keshokutwa.. najua wengi wao wapo shallow practical..
Watoto wa wapigiwa kura wanasoma Fedha hayo si matatizo yao. Watoto wetu sisi wapiga kura ndiyo inawahusu.
 
Mie I think tuangalie wapi tuna lack skills ndio tuinvest huko, ningependa kuona masomo Kama kilimo,teknolojia,environmental science etc yanazingatiwa na kisha syllabus ya Masomo yote inabadilishwa kila mara ibaki relevant na kasi ya mabadiliko.
 
Kilimo pia wale wanafunzi wa SUA W angekuwa wanakaa vijijini field miezi mitatu wakiendeleza mashamba na mifugo mfano kwa wananchi. Si wanasomeshwa kwa kodi zetu basi walipe back to farmers.

Hili linahitaji maandalizi kama nyumba za kufikia. Huwezi kuwaacha tu wakae kwenye vibanda vya nyasi.
 
Hii inarudi kwenye kuandika mitala lazima waangalie challenges tunazoziface kama jamii waandae masomo ambayo yata stimulates minds za wanafunzi kwenye kutatua hizo changamoto
 
Nawaza biashara ya kufanya niwaajiri maprofesa, hayo mengine endeleeni kuangaika nayo!! Nchi hii ukweli kuhusu elimu bado haijaeleweka?!
 
Hizi shule za kata ambayo tumewekewa wapiga kura ni zile za kutoa
Div 1- 0
Div 2- 0
Div 3- 2
Div 4- 10
Div 0- 120
 
Back
Top Bottom