Laini za simu zaidi ya 18,000 zafungiwa kwa uhalifu

Takwimu za kijinga sana hizi. Waseme ngapi zimenunuliwa. Itakuwa mara mbili ya hizo. Ukifungiwa leo hapo hapo unanunua nne mpya. Waeleze wangapi wamekamatwa na kufungwa kwa utapeli wa kutumia simu. Kufungia tu haina tija yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…