Laini na vocha za halotel

Huu mtandao naona kama ni ESCROW flani hivi...
 
Wenzako promo hawapigi hivyo Kabelwa.

Waache tu wenye kampuni wapige promo kivyao wee kama umeajiriwa piga kazi kwenye kitengo chako hukohuko ulipo, sasa kama hivi unakuwa unajiharibia hapa jamvini mwishowe hata siku utakuwa na shida ya kweli watu watashindwa kukusaidia watajua unawazingua tu.

Promo hazipigwi hivyo waache wenye kampuni wapige promo zao kivyao ndugu usiharibu status yako jamvini hapa, hapa sio MMU jombaa.
 
Last edited by a moderator:
Wadau hivi hizi laini na vocha za hawa jamaa halotel zimeshaanza kutoka!


Wenzako promo hawapigi hivyo Kabelwa.

Waache tu wenye kampuni wapige promo kivyao wee kama umeajiriwa piga kazi kwenye kitengo chako hukohuko ulipo, sasa kama hivi unakuwa unajiharibia hapa jamvini mwishowe hata siku utakuwa na shida ya kweli watu watashindwa kukusaidia watajua unawazingua tu.

Promo hazipigwi hivyo waache wenye kampuni wapige promo zao kivyao ndugu usiharibu status yako jamvini hapa, hapa sio MMU jombaa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha,mimi nimemaliza gb5 zao nimetunza line yao hadi vocha zitakapopatikana
 
unahitaji zaidi ya kumbukumbu unapokuwa mwongoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…