Lady Jaydee new song 'Sawa na wao' ni shidaaa!!!

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Nashindwa nitaandika kuhusu huyu mwanamke, lakini mungu akikupa kipaji hakuna wa kukizuia kuonekana, wanasema dhahabu hata ikiwa kwenye moto ni lazima ing'ae tu, God bless this woman aendelee kutupa kitu roho inapenda...
======

Official Music: Kama Wao by Lady Jaydee..

Nashindwa nitaandika kuhusu huyu mwanamke, lakini mungu akikupa kipaji hakuna wa kukizuia kuonekana, wanasema dhahabu hata ikiwa kwenye moto ni lazima ing'ae tu, God bless this woman aendelee kutupa kitu roho inapenda...
Au masikio yangu leo?maake nimesikiliza nyimbo ya kijana wa wcb,nikaona mbovu..hii nayo mbovu..yaan hizi touch ndio sielewi kama wabongo watazielewe..ngoja tuone kazi ya promotor,kupromoto...maake kazi ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom