Lady Jaydee apumzishwa kitandani kwa miezi mitatu kukwepa miscarriage

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Tumwombee msanii nyota amepumzika sasa kwa masharti ya daktari ili isitokee tena miscarriage kama hapo awali....
 
Mungu amsaidie,namuombea ampate mwanae,na awe na amani katika wakati huu wa kusubiri
 
Hili suala la Lady Jaydee jamani, suala la kupumzishwa ili asipate miscarriage ni suala la ndani kabisa ambalo hakuna anayeweza kulizibitisha isipokuwa mumewe, mimi nafikiri watu wame jump into a conclusion tu, hebu mpeni nafasi kama kuna lolote ni hapo baadae ila kwa sasa ameomba kupumzika kidogo na zaidi ya yote hajalazwa.
 
She is a hard worker in her trade. She is a struggling dame. From a jane to a queen. If its true then I pray for her safety and recovery.
 
Mimi ni mwanafamilia najua inavyoumiza ukichelewa kupata mtoto especially kwa mwadada kama JD mpiganaji na muungwana sana.Naomba Yesu ninayemwamini ampe hitaji lake la moyo.nitafurahi sana akifanikiwa.
 
Lady Jaydee anafanikiwa kimaisha kwa mipango tunayoishuhudia.tunajua alikotoka na kidogo kidogo maisha yakibadilika kwa jasho lake! Anaheshimu watu na anaiheshimu sana kazi yake.hili ni tunda la kujituma!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Mungu amsaidie apate alichokitafuta kwa siku nyingi binti machozi umelia wee...naona machozi yamemfikia
 
Mtetezii wake yu hai atampigania ili kiumbe kilicho kwa tumbo kitoke salama
 
si nasikia huyu dada anakula ganja aka bange? Sasa kama dr.ameoder complete bed rest bila kumwambia aache hiyo kitu itasaidia nini?
 
Na mpa kila la kheri na mapumziko yake.Kuna deal la m50 juu ya meza sasa sijui kama atendelea kupumzika au atakuja kuperform
 
Kama unajijua hali yako ni tata , mimba zinakutesa na zina kupotezea muda maana siku ya mwisho ni inaharibikan kwanini usijihusishe na technology?.
Lady JD hela aliyo tumia kupanga zile apartments na pia kukaa huko France , kwanini asingeitumia kwa kuchagua ndugu yake mmoja huko kijijini ,ange melimisha kuhusu masuala ya kua surrogate na artificial insemination na kulipa, halafu ange mpeleka South Africa ili aweze kusaidiwa kupandikiza mimba na kumzalia mtoto , kuliko kujaribu kila siku na miaka inakwenda.

Mungu mbariki Judith afanikishe ndoto yake yas kua mama.
 
Back
Top Bottom