Lady Jaydee afanyiwa kitu mbaya

Hana walinzi, ila ni wapambe! tena alikuwa nao wengi tu siku hiyo...cheki picha hii hapa chini..
attachment.php
Sasa hawa wote walishindwa! Kweli mtarimbo umelala doro
 
Watu wengine bwana, utakwendaje uwanja wa taifa na lap top kama siyo ubishoo aaa, kwani Jaydee hajui kwamba uwanja wa taifa uko wilaya ya Temeke.
.

Kumbuka kuwa ana blog huyu dada sasa amekua akipenda kuapdate matukio kulingana na sehemu alipo.Nafahamu kuwa waliripoti tukio hili pale chang'ombe kilichoshangaza ni kuwa askari wa pale walijaribu kuingia mtaani na baada ya muda walirudi na vibaka wengi sana lakini hawakuweza kuwapata wale waliomuibia Jay Dee,.Kibaka aliyetia fora kati ya wale wote walioletwa usiku ule ni yule aliyekua kaiba mkeka, kipigo alichokua amepewa hakilingani kabisa na kitualichokua kaiba.
 
Polisi walikuwa wengi sana siku hiyo, kwanini wasingeweza kusaidia? Inaonekana aliibiwa akitoka getini na polisi inatakiwa wawe nje na ndani ya uwanja, walikuwa wapi? Hata security ya mkuu wa nchi inawalakini kwani alikuwepo uwanjani na hii ingekuwa fursa tosha ya wananchi kuamini kuwa kuna ulinzi. Nadhani TFF inabidi iweke ulinzi wa makampuni binafsi wakati wa mechi kwani polisi wanaonekana kuwa wao wanakwenda uwanjani kushabikia na siyo kuimarisha ulinzi. TFF hebu fikirieni kila mechi kuwepo na walinzi wa makampuni binafsi nadhani ulinzi utaimarika zaidi.
Pole sana Jide. Mie napenda miziki na nyimbo zako.
 
Watu wengine bwana, utakwendaje uwanja wa taifa na lap top kama siyo ubishoo aaa, kwani Jaydee hajui kwamba uwanja wa taifa uko wilaya ya Temeke.

Pole Jaydee ila kuwa muangalifu sana nchi na mji wetu wa DAR umebadilika sana, sana, sana, hakuna usalama.

Kwani maana ya LAPTOP ni nini??? kazi mkononi kaka ulijue hilo. Desktop zipo kazi mezani ulijue na hilo tena
 
Usikute na full-mpango wa kununua ndege aina ya DASH-8 ulikuwamo kwenye hayo madokomenti....Pole mamaake...nategemea una back-up data zako.
 
......Pole zake Jaydee,vibaka watu wabaya sana.
Muhimu hapo zilikuwa documents.
Anyway wewe upo juu shost laptop, camera na simu utapata tu soon.
 
Pole sana inauma ku loose doc. hakuwepo mumeo awape za uso? na hukuwa na ile spray ya kina mama(mays spray) kwa ajili ya vibaka? laptop ya nini uwanjani au inarecord mpira na mavocal?

alikuwa akitueletea matokeo toka taifa jaamani
R.I.P LAPTOP
 
Sasa uwanja wa Taifa na Laptop!Sina hakika na vitu alivyoibiwa kwani tumezoea watu wakiibiwa utawasikia nilikuwa na kompyuta,mastercourse,billwate n.k hata kama huyo aliyeibiwa anashinda njaa kwa kutokuwa na pesa!
Pole sana jide lakini ongea ukweli.

mnauliza laptop uwanjani si alikuwa anarusha nyuzi za mpira live kwenye blog yake jamani?
 
Wezi walijua kuna hela ya kununulia ndege,kama alivyotangaza mwenyewe.-kweli wenye visa watu,pole sana binti machozi.
 
Sasa uwanja wa Taifa na Laptop!Sina hakika na vitu alivyoibiwa kwani tumezoea watu wakiibiwa utawasikia nilikuwa na kompyuta,mastercourse,billwate n.k hata kama huyo aliyeibiwa anashinda njaa kwa kutokuwa na pesa!
Pole sana jide lakini ongea ukweli.

guys,vitu kama laptop ni vya kawaida sana sasa hivi kuwa nayo popote, especially kwa watu wenye blog zao....akiwa pale anataka a-update watu kinachoendelea uwanjani...angeacha kwenye gari ndo kuna wavunjaji wa vioo.....kosa labda kutokuwa na mlinzi japo siamini kuwa tz tumeshafika huko!tuombe vyombo vya usalama vitusaidie..mambo ya kusifia kuwa huku ni TMK ni upuuzi mtupu!!! nakumbuka kuna kipindi baadhi ya miji ya kenya watu walikuwa hawathubutu kutembea na simu...nao watakuwa walianza hivihivi...usitembee na hiki mara kile cha msingi ni usalama kuimarishwa.
 
WAPENDWA WANGU HAMJAMBO??
NATUMAINI MKO POA KABISA, HUKU MWENZENU HALI ILIKUWA SI SHWARI
KIMYA CHANGU HAKIKUWA CHA BURE.
USIKU WA JUMATATU WAKATI NATOKA MPIRANI UWANJA WA TAIFA NILIVAMIWA NA VIBAKA NA KUPORWA HANDBAG NA KUGALAGAZWA.

WANYAMA NILIOKUWA NAO PIA MMOJA ALIEJARIBU KUNILINDA ALIGALAGAZWA VIBAYA, NA WENGINE WAWILI KUKIMBIA (MITINI)
YANI HII STORY NITAKUWA SIITENDEI HAKI NIKIELEZA KWA MANENO

NAMTAFUTA MCHORA CARTOON MZOEFU
NIMUELEZEE MKASA WOTE JINSI ULIVOTOKEA
AKISHANICHOREA NDIO NI POST HIYO STORY, MTAIELEWA ZAIDI
KAMA YUPO MCHORAJI AMBAE NAWEZA KUMSIMULIA KISA AKAKIWEKA KWENYE PICHA, TUWASILIANE TAFADHALI

KIFUPI NI KWAMBA WANYAMA WENGINE WOTE WALIKIMBIA ALIBAKI KASEJA PEKE YAKE KUMTETEA COMANDOO JAPO ALIZIDIWA NGUVU... NA HADITHI INAANZIA HAPO

TO BE CONTINUED..........................

JAPO KUNA WALIO ANZA KUISIMULIA UTADHANI WALIKUWEPO


Source: Lady Jay Dee
 
inasemekana alikuwa na juma kaseja wa simba mbona hakumpa tafu?au naye kunguru?huenda aliogopa kujulikana walikampany vipi kama ni shemeji hata humlindi?
 
I fil sory for Jde kwakweli kwani hata mi nlishawahi kukumbwa na mkasa ka huo buguruniiii..cha msingi ni kuwa muangalifu na kuepuka kutembea na v2 vya thamani..POLE J_DE. ila ndo ukome kufanya MAUZO kusipo.
 
Back
Top Bottom