Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

mkuu tupe namna ya kuipata na sisi huku kimara, baada kusolve maswali magumu ya complex consolidation bora nimsikilize komando
 
kama umechoka kusikiliza wacha kwan ulishikiwa bunduki mapnz yana run dunia kama utaki acha
 
Song title ndi ndi ndi, real it is anice song, safi jide
 
Baada ya kutoa wimbo mpya Jide achafua hewa.


Watu baada ya kumpokea kwa mikono miwili wageuka nakuanza kumshambulia baada ya kuwa unfollow watu wote nakutembeza block kwa watu mbalimbali ikiwemo mastaa wenzie.

Aijaeleweka kwa nini kafanya hivyo ila wadau wanasema anatumia style ya Kiba ambayo alirudi nayo ya kuunfollow kila mtu na ukizingatia Jide pia anasimamiwa na Seven wa Rockstar ambaye ni meneja wa Kiba.


Watu wametishia kufuta nyimbo walizo download.

Jide inabidi awe makini na vitu vinavyoweza kumletea picha mbaya maana mpaka hapo ana makovu mengi sana anaitaji sana watu.
 
Ndi ndi ndi.

Atakuwa ameshagundua kuwa chizi huwa haponi ndiyo maana kawa-Unfollow.
 
Rungwe saa hii alivyo na turoho tweusi anakaribia kukata roho,Komando kamvu bukta kweuuupeee.Dadadeki Jide.Ndio maana huipendi ccm maana kule wanakaaga wasiojua na wakujikomba malikia
 
Reactions: Lee
kweli komando jidee nomaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…