Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Mkuu kweli elimu ni muhimu lkn utashangaa hata waliosoma bado wanaishi ktk hali hiyo. Nafikiri kikubwa ni mtu kujitambua na wakati mwingine binadamu ni complicated mno huwezi kumuelewa manake kuna wengine wanaoishi nao hawana mali utashangaa huyu mama/dada anang'ang'ania nini hutopata jibu.
Mkuu hujawahi sikia mwanamke ana elimu plus Pesa plus status kwa jamii na bado ananyanyaswa na mmewe??? (Manyanyaso sio kipigo pekee ikumbukwe)
Sikatai elimu sawa lakini mahaba nichakachue kama rasimu ya six ndo source kuu...
Kingine hujawahi sikia manze haijaenda hata nursery na inamuendesha mwenye masters???
Nilitaka tuu ufahamu na huu upande wa pili.