Ladies, will you stay with an abusive man for money?

Huyu dada nilisikia issue yake na kuiona clip, yani mpaka nilisikia hasira kwa niaba...

Lakini inaelekea jamii kwa ujumla inawasujudia sana wanaume wenye pesa...utakuta familia ya mwanamke, mashosti watakuwa wanamwambia asiachie dili aendelee kuvumilia...

Si uliona juzi kati issue ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela alofumaniwa na mkewe watu walivyo comment...

Comments zote ziliangalia kitumbua cha mheshimiwa (ajira) na kusahau he was supposed to behave like a married man..

Mpaka kuna aliyeleta mfano wa waziri ambaye mkewe analea mtoto wa kimada...

Umalaya mnaweza kuuchukulia poa lakini ni emotional abuse mbaya ukute kuliko kipigo....:angry::angry::angry:
 
Mwanamke hawezi kutembeza kipigo cha maana kwa mwanaume...hao wote walipapaswa tu katika harakati za hao wanawake kupunguza hasira zao...

Wewe uliona lakini huyu kijana alivyomtwanga mkewe sijui alikuwa mchumba by then...hadi alizimia (kama sijatia chumvi)

Double standard ya American media...jay z alivyokuwa attack hakuna alie mlaani solange sanasana she is more famous...tiger wood alipigwa na mkewe no one talks about abuses....only kumlaani kwa cheating ...in this new world...men deserves all abuses...only to women ndo kesi...
 
  • Thanks
Reactions: kui
Abusers ni kama players tu na wengi ni ma player...wanajua namna ya kuwaweka kwenye angle wanawake zao kiasi kwamba wakianza tabia ya kugawa kichapo; hawaondoki...

Wanawake wengine wanavumilia sababu walilelewa wakiona baba anamchapa mama...kaka anampiga dada..etc...

Mi siku ntakapopigwa kibao...ndio utakuwa mwisho...kwanza lazima nirudishie walau na mwiko kabla ya kufungasha virago...

Hili ni kweli kabisa Mkuu Ablessed. Kuna dada mmoja msomi na kazi nzuri na mshahara mzuri sana alikuwa anapata vipigo ambavyo kwa kweli hakustahili kabisa kuvipata. Vipigo hivi vilisababishwa na wivu wa hali ya juu na hasira za kupita kiasi toka kwa mumewe. Huyu dada anamuogopa mumewe utadhani ni muhalifu. Na alikuwa akitandikwa anatandikwa kweli saa nyingine hawezi kwenda kazini wiki nzima kwa jinsi alivyovimba uso.

Pamoja na usomi wake, kazi nzuri na mashahara mkubwa aliendelea kuwemo ndani ya hiyo ndoa. Alipokuwa akinihadithia maisha yake nilikuwa namuonea huruma sana na juhudi zangu za kumwambia afungashe virago ili awe mwenyewe ziligonga ukuta. Hana hata marafiki kutokana na wivu wa mumewe. Mara nyingi alikuwa anaonekana mnyonge kupita kiasi.
 
Mwanamke hawezi kutembeza kipigo cha maana kwa mwanaume...hao wote walipapaswa tu katika harakati za hao wanawake kupunguza hasira zao...

Wewe uliona lakini huyu kijana alivyomtwanga mkewe sijui alikuwa mchumba by then...hadi alizimia (kama sijatia chumvi)

Kwa hiyo, kwa mtaji huo wewe unaona kuwa ni sahihi kwa mwanamke kumdunda mwanaume tani yake kwa sababu tu inaaminika kuwa "Mwanamke hawezi kutembeza kipigo cha maana kwa mwanaume"?

Women hitting men is okay, but men hitting women is never okay?

How about it is never okay for anyone to hit anyone?
 
Hakuna mwanamke anayeweza kumpiga mwanaume...wanawapapasa tu wewe....unless awe mwanamasumbwi...

Mi kwa kweli nilikuwa sina time na Jay Z ila tokea aonyeshe kuwa ni real gentleman nimekuwa fan wake...

[/B]Okay, fair enough. On the flip-side, is there a justification for hitting men? Or for women hitting men? If so, what is that justification?

Hahahahaaa irrational hyperventilating!

You are only talking about men hitting women. But what about women hitting men? Do you think Solange was right attacking Jay Z the way she did?
 
  • Thanks
Reactions: kui
That's called body massage si kupigwa bana...akupige kwa misuli ipi????

Kwa hiyo, kwa mtaji huo wewe unaona kuwa ni sahihi kwa mwanamke kumdunda mwanaume tani yake kwa sababu tu inaaminika kuwa "Mwanamke hawezi kutembeza kipigo cha maana kwa mwanaume"?

Women hitting men is okay, but men hitting women is never okay?

How about it is never okay for anyone to hit anyone?
 
Hakuna mwanamke anayeweza kumpiga mwanaume...wanawapapasa tu wewe....unless awe mwanamasumbwi...

Mi kwa kweli nilikuwa sina time na Jay Z ila tokea aonyeshe kuwa ni real gentleman nimekuwa fan wake...

Naomba basi unijibu hili swali moja kwa moja; Je, ni sahihi kwa mwanamke kumpiga mwanaume?
 
Si sahihi lakini haiwezi linganishwa na kipigo cha wanaume...

Maana hata wanaoamua kuwarudhishia wanawake wanaowapiga si kwa kuwa wameumia..ni man's ego...wanaona wamedharauliwa...

Ahaa! Ahsante walau kwa kuwa mkweli kwenye hilo.

Si sahihi kwa yeyote yule kumpiga mwenzake.

Hilo la wanaume (kwa ujumla) kuwa na nguvu kuliko wanawake halina mjadala. Lakini ukweli huo usiwe kisingizio cha wanawake kuwapiga wanaume halafu wakirudishiwa waanze kulia lia wamepigwa ilhali wangeweza kabisa kuepuka shari kwa kudhibiti hisia zao.

Kumpiga mtu kwa kutegemea kuwa hawezi kukurudishia kisa yeye ana maguvu mengi kuliko wewe si vizuri. Dhibiti hisia zako na mwenzako naye adhibiti zake ili kuwe na amani. Amani ni barabara yenye pande mbili.

Maana hata wanaoamua kuwarudhishia wanawake wanaowapiga si kwa kuwa wameumia..ni man's ego...wanaona wamedharauliwa...

Hili hapa sina uhakika nalo sana maana si wewe au mimi tunayekuwa tumepigwa kwanza. Kuzungumzia maumivu ya mwenzio si jambo la busara sana maana mtu mwingine hawezi kujua tolerance level ya mtu mwingine.

Bottom line ni kwamba, kupigana si dili.
 
Wadada wengi tu wanapigwa na waume/wapenzi wao. Hawa wa MMU naona wao wanabahati ya kutopewa kichapo.

Hitting a lady shows how insecure a man is, but also some ladies gotta a certain attitude such that..it's hard to resist knocking them.
 
[/B]Okay, fair enough. On the flip-side, is there a justification for hitting men? Or for women hitting men? If so, what is that justification?

Hahahahaaa irrational hyperventilating!

You are only talking about men hitting women. But what about women hitting men? Do you think Solange was right attacking Jay Z the way she did?

You can't compare kipigo cha KE kwa ME kama kipigo cha ME kwa KE
 
  • Thanks
Reactions: BAK

That is an axiomatic fact.

But still, it doesn't justify (women) violence against men.

Peace is not a one way street.

What's sauce for the goose is sauce for the gander!
 
Huyu dada nilisikia issue yake na kuiona clip, yani mpaka nilisikia hasira kwa niaba...

Lakini inaelekea jamii kwa ujumla inawasujudia sana wanaume wenye pesa...utakuta familia ya mwanamke, mashosti watakuwa wanamwambia asiachie dili aendelee kuvumilia...

Si uliona juzi kati issue ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela alofumaniwa na mkewe watu walivyo comment...

Comments zote ziliangalia kitumbua cha mheshimiwa (ajira) na kusahau he was supposed to behave like a married man..

Mpaka kuna aliyeleta mfano wa waziri ambaye mkewe analea mtoto wa kimada...

Umalaya mnaweza kuuchukulia poa lakini ni emotional abuse mbaya ukute kuliko kipigo....:angry::angry::angry:

Gaaal!, acha tu yaani!, ukisoma vizuri hii habari there's somewhere eti, "she was worried after his was suspended knowing that the money will stop coming" yaani she was more worried about the money than her own life?!!
And this dude is the football player for heaven's sake na yanavo kuaga na nguvu!, he knocked her out!, and she still went ahead and married him!
 
Huyu dada nilisikia issue yake na kuiona clip, yani mpaka nilisikia hasira kwa niaba...

Lakini inaelekea jamii kwa ujumla inawasujudia sana wanaume wenye pesa...utakuta familia ya mwanamke, mashosti watakuwa wanamwambia asiachie dili aendelee kuvumilia...

Si uliona juzi kati issue ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela alofumaniwa na mkewe watu walivyo comment...

Comments zote ziliangalia kitumbua cha mheshimiwa (ajira) na kusahau he was supposed to behave like a married man..

Mpaka kuna aliyeleta mfano wa waziri ambaye mkewe analea mtoto wa kimada...

Umalaya mnaweza kuuchukulia poa lakini ni emotional abuse mbaya ukute kuliko kipigo....:angry::angry::angry:

NAILED IT GAAL! :hail:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu dada nilisikia issue yake na kuiona clip, yani mpaka nilisikia hasira kwa niaba...

Lakini inaelekea jamii kwa ujumla inawasujudia sana wanaume wenye pesa...utakuta familia ya mwanamke, mashosti watakuwa wanamwambia asiachie dili aendelee kuvumilia...

Si uliona juzi kati issue ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela alofumaniwa na mkewe watu walivyo comment...

Comments zote ziliangalia kitumbua cha mheshimiwa (ajira) na kusahau he was supposed to behave like a married man..

Mpaka kuna aliyeleta mfano wa waziri ambaye mkewe analea mtoto wa kimada...

Umalaya mnaweza kuuchukulia poa lakini ni emotional abuse mbaya ukute kuliko kipigo....:angry::angry::angry:[/QUOTE

dah umenifanya mpaka nalia yan umenikumbusha machungu asee...yule hata hela hakuwa nazo but ful of abusive lg akipandisha hasira utatukanwa hata mbele za watu...alichonimarrrrrlizaga ni kunako 6*6 tu...huku kwingine ni zirooooooo!
 
"Mwanamke hawezi kutembeza kipigo cha maana kwa mwanaume...hao wote walipapaswa tu katika harakati za hao wanawake kupunguza hasira zao...".....from nyumba kubwa

That axiomatic fact still doesn't make it right for a woman to hit a man, period, end of sentence.

Domestic violence from anyone against anyone is bad any way you cut, slice, dice, or spin it.

Or what say you? Is it okay for women to hit men?
 
Back
Top Bottom