kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
- Thread starter
- #81
Why him...anajua ngumi...ah ah...
Nilipoona nakaribiwa kupigwa nikaamua kustaafu...
Kuna siku tulikuwa tunapigana nyuma ya darasa huku wanafunzi wanashangilia kimya kimya walimu wasisikie...nilipofanikiwa kumwangusha huyo nilekuwa napigana nae chini (mwanaume huyo) mwalimu kaingia...ndio ilikuwa salama yangu maana niliona nakaribia kupigwa...basi darasa likanipa ushindi...akati mwalimu anafundisha huyo kijana akawa busy kunambia tukitoa shule tutwangane tena njiani...siku hiyo nilikuwa wa kwanza kutoka shule maana nilihofia kula kichapo...from that day nikaacha kupigana kwa 'heshima'...sikusubiri nivuliwe taji...
Lol!, quitting with respect...lol!