ladykiokote
Member
- Jun 12, 2014
- 87
- 31
Abusers ni kama players tu na wengi ni ma player...wanajua namna ya kuwaweka kwenye angle wanawake zao kiasi kwamba wakianza tabia ya kugawa kichapo; hawaondoki...
Wanawake wengine wanavumilia sababu walilelewa wakiona baba anamchapa mama...kaka anampiga dada..etc...
Mi siku ntakapopigwa kibao...ndio utakuwa mwisho...kwanza lazima nirudishie walau na mwiko kabla ya kufungasha virago...
Dah umenichekesha sana nyumbakubwa we tunaweza kukaa nyumba moja