sketi ili achekwe. Mf, kuna dada mmoja tulikuwa tunasoma nae chuo huwezi amini kuanzia mwaka w kwanza mpk tunamaliza chuo hakuwahi kuvaa sketi. I wonder yule dada alikuwa anaficha nn?![/QUOTE]Sasa unakuta dada ana vigimbi kama mcheza mpira unategemea video: http://t.co/XLQGTiqXs0
Kwa hiyo hapa tumekubalianaje?
....jamani jamaniiii.....
....1: ♡♡♥♥○●● mie mwanamke avae chupi na kanga moja weeeeeeee namfuata tu hadi sikuwa na safari ya aendako ntaenda.... awe na KABAANG yenyewe...
...2: avae dela rojorojo na yeye awe na kabaang kajazia afu rojorojo na chupi tu basii...nakufa akili haiwazi chochote hadi asionekane au namfuata hadi niongee nae....!!!!.
Mwanamke alievaa sketi ni rahisi kupendwa kuliko wavaa suruali.
Kwa mwanamke alievaa suruali mwanaume anaumiza hisia nyingi zaidi kuliko mwanamke alievaa sketi.
Mwanamke alievaa suruali anampa maswali mengi sana mwanaume kabla hajamtokea.!!!
si kweli kama mzuri mzuri tu na si suruali wala scat fikilia tena au rudi darasani
Mwanamke alievaa sket huonyesha miguu na uhuru mwanaume sababu kuna mwanaume anampenda mwanamke sababu tu anamguu mzuri so hawez kuuona kama amevaa suruali
nawatakia mafanikio Mema huko Mwanza wing.!
Ila ukavae sketi loh.!!
Nimecheka sana hata chakula nilichokuwa nakula nimeshindwa kukimaliza