Ladies only

Nini kimekutokezea tena hadi ukaja na maswali haya?

Hamna lolote lilonitokea mkuu,hizi thread za humu ndani,wakidai ni nature kuchepuka ndio kumenifanya niogope,otherwise mie ni dada ninayepanga kuwa na familia siku moja,nataka kujua changamoto za ndoa maana najua sio mtrremko....
 
Msongo wa mawazo, Mume hajarudi hadi wakati anatupia huu uzi. Ila bahatimbaya aliandika akiwa high tampered, ndiomaana hajaeleweka uzuri

Hamna ukweli wowote ktk maelezo yako, sina mume ☺☺☺
 
Yan hapa wanawake wenzangu ndo mnaniachaga hoi....kwa nini mnawahalalishia wanaume kuchepuka?? Umalaya afanye yeye,nje atoke yeye kujichunguza nijichunguze miee...mbona majangaaa...

Ndio hapo nashangaa....ndoa isiyo na communication ni ndoa mfu....yaani nimebadilika ns wewe huna balls za kuniuliza why?uanaume sio suruali tu ni pamoja na kufanya/simamia maamuzi,na sio kurisk maisha yako na mkeo pamoja na kuwaacha watoto wenu yatima kwa sababu za kijinga,ndoa ni convenant BOTH parties should work to keep it......wanawake tusilaumiane,bebeshane mizigo mpaka hapo tutakapojitambua wataendelea kutupanga km panzi.....
 
Ukigundua mume wako anachepuka,utatulia tu ukizingatia watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama au utampa kisogo akwendea anapokwenda?!
Pole dear....! Kumbuka kuwa wanaume wengi wanachepuka na wewe kama mkewe utakuwa wa mwisho kugundua kuwa mumeo anachepuka. Maisha ni zaidi ya kukaa na kuwaza hivi mwenzangu anachepuka??? kwa sababu ukweli ni kuwa anachepuka vibaya mnooooo. Get busy, saka pesa, jipende, jiendeleze kielimu, pendeza, lea wanao kwa mapezi yoote, mtafute Mungu katika maisha yako, muombee mumeo. Kiu ya kuchepuka ikiisha ataacha.
 
kuchepuka ni Tabia, Mazoea, Tamaa na Mazingira: huwezi kudhibiti vitu hivi labda mazingira...

Acha tu achepuke, ila ipo siku atarudi akiwa analia, kuwa makini na VVU.

Hapo kuwa makini na VVU utamnyima au utatumia condom ?? Kwa mumeo???
 

Big like....tatizo watu wamechukulia jukum la kulinda ndoa ni la mwanamke pekee..haipo hiyo
 
Ukigundua mume wako anachepuka,utatulia tu ukizingatia watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama au utampa kisogo akwendea anapokwenda?!

Ukipata ukimwi ndo ushindwe kuwalea wabaki mayatima kabisa
 
Mwanaume kuchepuka ni kawaida . sasa kama utaacha mwanaume kwa kosa hilo je utaacha wanaume wangapi?
 
Nitaendelea na wajibu wangu kama mama, sitokuwa na habari nae kwan mwanaume ni kama kijiko cha hotel hakina makombo mradi tu asinidharau achepuke salama akirudi atulizane, mimi niko busy sina habari wala sitaki kujua anayechepuka naye japo inauma moyoni ila kukaa kimya na kumuangalia ni dawa tosha wakati huo majukumu yangu nayatimiza kama kawaida
 
Uchune...lols 

Mr. anaruka ukuta nini??? :smile-big::smile-big: pole sana mkuu, ni kweli mume ana uma sana. Ila pia tatizo liko hapohapo ndani kwako so usitafute mchawi nje :israel::israel: (maombi)
 
Ukigundua mmeo anachepuka we tulia tu na mwombee kwa Mungu maana huko kwwnye michepuko siku izi kuna mambo mengi sana ushirikina ukiwemo kuachika biblia ulikataza na kilichounganishwa mbingun hakitenganishwi dunian.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…