Ladies only - Win a date with Ngabu

eeeeh mi nilikuwa wapi jamani?ndo kwanza naona leo,zifa zooote zinazo twende basi lkn utatumia sh ngapi ili nibebe kabisa pesa?
 
eeeeh mi nilikuwa wapi jamani?ndo kwanza naona leo,zifa zooote zinazo twende basi lkn utatumia sh ngapi ili nibebe kabisa pesa?

Lol...it's an all expense paid adventure.
 
kasheshee. mi sifa zangu ntakwambia kweny sim kama utanipigia:hippie:
 
kasheshee. mi sifa zangu ntakwambia kweny sim kama utanipigia:hippie:

Ingawa shindano lilishakwisha miezi sita iliyopita, hakuna ubaya wowote. Nitumie tu hiyo namba yako ya simu kwenye PM
 
mpenzi siamini macho yangu yaani unatafuta nini eti
 
NYANI na BALANTANA, massalkheir ndugu zangu!!!, haya za siku nyingi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…