Hivi mimi NK kabisa nikapige story na wadada salon...?
Kunangwa kwingine ni kwa kujitakia...
(Know your class)
Na ukute hata mumewe hawamjui...
Ila kwa kuwa kajisifia wanataka kumrusha roho tu...
Mimi huwa sitaki hata zile service za kufuatana home...
Nyumbani kwangu si pa kila mtu kuingia na kutoka kama chooni...
Ukiolewa utajisifu tu kwa kuwa mume... hata kama uwa tunabadlika ila mke ni mke tu anaheshma yake special
achana na hao watu wa magu megume wasikupolute bure. Hongera mwaya na ukamsifie mumewe ndiyo raha ya ndoaHahahaa
Bado miezi michache tu na mi niingie humo ndani
ni mbaya sana kumsifiaa au kumponda mume kwa maana dunia ya sasa sio
tuwe na kifua cha kutunza siri
Siwezi mkuuu unielewi navyo wachukulia ninyi viumbe mfyuuuu
Usituchukie sisi chukia walokuumiza
Wooooooote wanaume wale wale
Sio kweli.... tunatofautiana vingi... ukubwa wa boro, mahaba, tabia, sura na mioyo
Wooooooote wanaume wale wale
achana na hao watu wa magu megume wasikupolute bure. Hongera mwaya na ukamsifie mumewe ndiyo raha ya ndoa
Hivi mimi NK kabisa nikapige story na wadada salon...?
Kunangwa kwingine ni kwa kujitakia...
(Know your class)
Na ukute hata mumewe hawamjui...
Ila kwa kuwa kajisifia wanataka kumrusha roho tu...
Mimi huwa sitaki hata zile service za kufuatana home...
Nyumbani kwangu si pa kila mtu kuingia na kutoka kama chooni...
Sure
Huwezi eti kupiga story saluni za kumsifia mtu wako!
Salun zenyewe za bongo hiz cjui unaanzaje kukaa kupiga story lzm muwe mnafanana.....
Mi sioni shida kumsifia mtu wangu bt inategemea place and time!
Halafu kuna vya kuongea sio vya chumbani tena, hapo itakua too much!

Hata wa same class na yeye unatakiwa uongee nae kwa machale...
Nina rafiki yangu (office mate) nampenda sana maana yuko so cool...
Mumewe ni bossy sana...nimejua sababu mke analalamika sana tukiwa job...
Sasa badala ya kumwambia 'mimi nina bahati mume wangu hana hizo tabia kabisa'
Nachombezeaga tu' wanaume ndivyo walivyo'...na naona inasaidia kumtia moyo
Maana nikianza kumsifia wangu kuwa yuko tofauti; japo najua hawezi nionea wivu maana ana roho nzuri sana huyu mdada lakini nitamfanya aanze kujutia kuolewa au hata kumchukia mumewe...
pia si vizuriKwa hiyo kushare furaha zetu na watu ambao wana huzuni...ni kuwatia moyo wasijioni wana mikosi...
Asante
Ndo maana nakupendaga...
Nasisitiza wanaume sio wote wabaya kitabia, kuna wengine ukiwa nao burudani tu japo maudhui ya hapa na pale yapo..
Mi kiukweli namsifia tu bt sio kila kitu cha kuongea pia ni kuangalia Place n Time....sio eti naenda kupiga story saluni ndo ndoa za watu zinaharibika huko.... nina uhakika hanicheat...maombi yangu kwa Mungu yanamlinda