Ladies ndani ya ndoa piteni hapa

Ladies ndani ya ndoa piteni hapa

Simwamini mtu anayeitwa mwanaume,ata awe mpole vpi mana ni pasuha kichwa kama aliweza kwangu atashindwaje kwengine.

sala kwa tuliiolewa,Mungu nisaidie mume wangu asiwe na michepuko,akiwa na michepuko nisiijue,nikiijua nisiumie,,nikiumia nivumilie,hahhhahhahahahahah
 
Naona JLo yeye wakimzengua anatoa Talaka tu hahaha
 
We do differe aisee. Mimi simsifii mbele za watu wala moyoni! Sijawahi na sitowahi kujigamba kwamba he is not cheating maana he isnt inside my handbag! Rafiki yangu alikuwa na mtindo huo wa kumsifia mumewe alikoma siku aliposafiri kurudi anamkuta live na housegirl wanafanya yao. The best thing ni kumuomba tu Mungu amuepushe na majaribu.
 
Duh hii hatari sana
 
wangu mie labda niendelee kumuombea
Maana yuko busy na michepuko sio FB na watsupp ni shida Mungu tu aingie kati katika ndoa hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom