kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Hivi mimi NK kabisa nikapige story na wadada salon...?
Kunangwa kwingine ni kwa kujitakia...
(Know your class)
Na ukute hata mumewe hawamjui...
Ila kwa kuwa kajisifia wanataka kumrusha roho tu...
Mimi huwa sitaki hata zile service za kufuatana home...
Nyumbani kwangu si pa kila mtu kuingia na kutoka kama chooni...
Word gal, kama kawa...
Halafu huko kuna watu wa kila aina, and then mtu anaweka personal life yake in the open for everybody to see?!!
Lakini kama ulivosema, it's all about the EGO!