Ladies ndani ya ndoa piteni hapa

Ladies ndani ya ndoa piteni hapa

Duniani hakuna jema hata siku moja, kwahyo usiogope kuishi kwasababu hakuna jema.

Just live anyway.
 
Na ndio uzuri wa kujichanganya na watu mnaofanana...
Hata uongee nini hawawezi kulikuza...

Ila ukiwa na watu tofauti na wewe chochote uongeacho wanachukulia unaringa...na wanaanza kukuombea mabaya ili wakucheke...

sina maana kuwa tusiongee kabisa na watu tofauti na siye; ila ni kujua kipi cha kuzungumza na nani...
Sana sana salon nachoweza changia ni story za joti na magazeti ya udaku...si maisha yangu...wala ya mume wangu...

Sawa kabisa!
 
Mie kwa kwa kweli kelele za chura hazitanizuia kumsifia zombie, niibe nijifiche kusifia, mume naye niogope kumsifia kisa kuna pyschos wanataka kumkwiba kwa kunikomoa nisijisifie? Wamkwibe tu, tena akiwa zuzu wambebe mazima.

As long as mume anarudi home, am at peace na nitamsifia hadi nitakapoona otherwise.

Kuna workmate wangu pia alinishangaza, anaishi Sinza. Alinisimulia jinsi wanavyopanga kumwibia shost yao mume kisa anajisifia sana. Nikamuuliza, mkishamuiba mnapanga na kuivunja hiyo ndoa, wakasema hapana, tunamkomesha tu afunge mdogo. Kweli nilimuona ni pyscho tu. Kumkoa mke wa ndoa wa mtu mtu ni sawa na kuikomoa serikali, haikomoleki. Sema tu hili gonjwa ndio balaa.

Kwanza ukiona wanawake wanafuata mumeo, jua ulichagua aliyenona, na inafanya ndoa kuwa more exciting.

Aaaaamen
 
Kongosho hapo kwenye red sina hakika sana

wengine wanaangalia tu kama ana mshiko wa kuchuna
Sidhani kama ni sera ya aliyenona ...
 
Afadhali hapa JF I can yap about my husband. Mazoea na story za salon sinaga.I do not like to discuss my marriage at all

What more can i say zaid ya kuadmire the way unavyojielewa?
 
Wanawake huwa mnakosea kwa kuanika mambo ya faragha wewe na mmeo mbele za watu,...unaweza ukadhani wanakuchekea kumbe ndio unatoa siri za Kambi....
 
kusimulia habari za mumeo mbele za wamawale wenzio unajiunaguza kwenye tanuru la moto.Wengine wanawaume zao ila hawawafikishi kunako....sasa ww unapokuja na hadithi zako sikuo Ooh mme wangu mambo anayaweza sijui ana mashine kumbwa anajua kuitumia, hujui kwamba unawatamaisha wale wenye waume vibamia na wanatamani, kukunwa vyema? Basi endeleeni kujitangaza mwisho wa siku jinamizi ameingilia ndoa yangu kumbe jinamizi ni ww na mdogo wako
 
Aisee mke wangu akipita hapa atapata wasiwasi sana. Mkuu FL1 hebu punguza details bana 🙂
 
Kunona kuko kwa aina nyingi, ila pesa ni top of them all. Hujui Wasira is vere handisamu?

Kongosho hapo kwenye red sina hakika sana

wengine wanaangalia tu kama ana mshiko wa kuchuna
Sidhani kama ni sera ya aliyenona ...
 
Mtoa mada umesema kweli loh nilikuwa namsifia kwa rafk kadhaa nusura ahamie kwako nimejifunza crudii kosa raha zangu cri yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom