FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Haya ngoja wenye ndoa waje kwanza
Haya ngoja wenye ndoa waje kwanza
Siwezi kujisifu nina mume bora au bf bora ... hawa viumbe hubadilika mara ... kama kama kuchanganya maji na rangi nyekundu acha kabisa....... akiwa mzuri tumia hiyo nafasi vizuri jua ubaya unakuja...
Mie kwa kwa kweli kelele za chura hazitanizuia kumsifia zombie, niibe nijifiche kusifia, mume naye niogope kumsifia kisa kuna pyschos wanataka kumkwiba kwa kunikomoa nisijisifie? Wamkwibe tu, tena akiwa zuzu wambebe mazima.
As long as mume anarudi home, am at peace na nitamsifia hadi nitakapoona otherwise.
Kuna workmate wangu pia alinishangaza, anaishi Sinza. Alinisimulia jinsi wanavyopanga kumwibia shost yao mume kisa anajisifia sana. Nikamuuliza, mkishamuiba mnapanga na kuivunja hiyo ndoa, wakasema hapana, tunamkomesha tu afunge mdogo. Kweli nilimuona ni pyscho tu. Kumkoa mke wa ndoa wa mtu mtu ni sawa na kuikomoa serikali, haikomoleki. Sema tu hili gonjwa ndio balaa.
Kwanza ukiona wanawake wanafuata mumeo, jua ulichagua aliyenona, na inafanya ndoa kuwa more exciting.
Kongosho mie nadhani pale inapostahiri kusifia maybe
Pengine unasifia watu wanakuchora ooh mme wangu nikikata nyanya anakata kitunguu,kisha anaongezea mnalalamika wee wakati wangu hana hayo matabia kuna mmoja alikuwa anaongea haya maneno wakati kwenye hilo Kundi kuna dada anatoka na mmewe na watu wanajua kila mtu alibakia kimya na kuumia rohoni kumwambia wanashindwa
Mama mmoja akamwambia we mwana wee jitahidi kuwa unatoka out na mmewe usimwache aende peke yake,
Usilolijua ni kama usiku wa kiza...