Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

Tanzaniaaaa Tanzaniae eheeee x2
Kiswahiliiii, Kiswahiliiiii, umewakosea nini hawaviumbe vyanchi yako kipenzi? Naona wanavyokuchambachamba na kukuvuruga mpaka nakuonea huruma!
 
kuna kitu naona kimemiss...kama huyo bi dada alikuwa ana approach 30s je jamaaa alikuwa ana umri gani?
Pia kwani ni lazima mdada uwe 30s ndo uanze harakati za kuolewa?mi naona kwa mdada aliepitia shule/chuo 25- 30 ni age nzuri kabisa na ya utulivu for marriage.
Jamani nampa pole sana sana,sijui jamaa walikuwa nae tangu chuo? unajua kitu nilioiona nowdays kwa wa kaka ni kwamba anaweza kuwa na mdada kwa mahusiano ya muda mrefu like 6 yrs,jamani to me ukiona tu imezidi 2 yrs iwe MAX,
Tofauti na hapo utatumika tu....especially kama chuo umemaliza wote mnafanya kazi 2 yrs ni max,hiyo 6 labda tangu chuo first year,ameshakutana pia na wengiiiii,then obvious atakupiga chini tu,wadad wengi wanaamini ukiwa na mtu kwenye mahusiano kwa muda mrefu ndo ataishi nae...this is BIG NO.Wadada jifunzeni kuwa na malengo time frem mtu ana kazi tena 5 yrs experience? unakuta mdada wa watu kawapiga chini jamaa wengiii akijua mkaka atachukua chombo....jamani,halafu anaanza kuwafikiria wale aliowapiga chini/kuwaeka pending....inaumiza...bt Pray to God jamani to her...pole yake,Hakuwa chaguo lake huyo...
 
kwanza ni kutoe wasiwasi si wanaume wote wanafanya hivyo!

Ukiona unafanyiwa hivi ujue jamaa hana mpango nawewe!
Lakini cha kujiuliza kama hakuna ka uzembe kwa msichana haiwezekani una kaa na mtu miaka 6 hujui hatma yako!

mimi hata miezi sita huwa haifiki, kama hawezi sema hatma yetu ni nini ni bora ni niwe peke yangu
 
Turudi kwenye misingi kdogo. Hivi uchumba maana yake nini? Miaka sita ya "mahusiano" ya mwanaume na mwanamke yana-entail vitu gani? Kama ni yale yanakwenda mpaka bedrumuni,basi lipi ni rahisi zaidi, kwa mfano kwa bidada, kumvulia mwanaume mtu mzima nguo zote au kumuuliza "will you marry me,...when exactly?"
Kama lengo ni kufahamiana vizuri, how long is long enough? Na unaanzia wapi kuhesabu,siku ulipokutana naye au siku mlipoanza "urafiki"?
Ilinichukua miezi sita kumchunguza my wife wangu bila yeye kujua,kabla sijaanzisha mahusiano ya kirafiki yaliyodumu miezi 6 (urafiki ,urafiki tuu,...no appointments,no special gifts,no exclusive whatever); na siku nilipo-propose illikua ni ku-ask her hand in marriage. After the YES kilichofuata ni planning of the when na michakato yake.

Miaka sita!! In fact hata miaka miwili ya mahusiano ya kimya kimya no commitment no nothing, mnakua mnawaza nini sasa? Unless muwe mna-enjoy fulness ya huo muda, mambo yenu haya ya kileo, ...yaani hiyo miaka yote unaweza kukuta wanaishi maisha more or less kama wanandoa except for the wedding rings! Kama ndivyo,yakitokea hayo ya "for all this time there's been something missing btn us blah blah..." usilalamike basi, sio bahati mbaya wala nini!
 
Mzee mwenzangu, huyu shemejiyo nikimbebea hizo bidhaa kwake ni sawa na mabinti wa sasa kununuliwa chain ya dhahabu.

Ntapewa nitakacho, ntapakuliwa nitakavyo na marafikize watasimuliwa ukarimu, mapenzi ua ujali wangu kwake. Ofkoz ni baada ya wao kugawiwa kiasi kiduchu kama uthibitisho kuwa mzee nimemnunulia dhahabu.
 
nataka ku-pop the kwesheni

ayu rede?

 
Its not fair kabisa kwa hicho jamaa alichomfanyia mdada wa watu. Wadada ambao hamjaingia kwenye ndoa, please;


  • Usikubali kuishi na mwanaume bila ya ndoa hata kwa wiki moja, be very expensive. Kuna wengine mkishakuwa wachumba basi kila kukicha ooh, babay njoo basi unifulie na upikeee, NO!!! Asikufanye house girl wake, kama anataka yote hayo akuoe!!!
  • Usiwe mwepesi kutoa k kwa mpenzi wako kabla hujaingia kwenye ndoa! Mpe kwa mafungu tu, once per month then kama yeye anahitaji kila siku basi akuoe ili apate daily though ukiingia pia kwenye ndoa unaendelea kumpimia (kipimo kinaongezeka teh teh)
  • Kama umekuwa ukiyafanya hayo hapo juu, badilika sasa
 

nimeshindwa kuvumilia kicheko kwikwikwikwikwikwiiiiiiiii
umenikumbusha binti mmoja nilimwambia maneno hayohayo alipotambulisha mchumba wa pili baada ya wa kwanza kushindikiana daah wana kazi kwelikweli hahahahahahahaaa
 
nimeshindwa kuvumilia kicheko kwikwikwikwikwikwiiiiiiiii
umenikumbusha binti mmoja nilimwambia maneno hayohayo alipotambulisha mchumba wa pili baada ya wa kwanza kushindikiana daah wana kazi kwelikweli hahahahahahahaaa


Ulimwambia nini sakapal??

Kwamba ampimie mchumba wake au asitoe kabisa?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ulimwambia nini sakapal??

Kwamba ampimie mchumba wake au asitoe kabisa?

Babu DC!!

nilimwambia ukiendelea kusupply maziwa jamaa hatakuwa na kiu ya kujenga zizi la kufugua ng'ombe. Nilimwambia nature ya mschana pia ni kuringa, mringie kidogo, muoneshe kuwa hauko tayari muda wowote anaokuhitaji. Play hard to get ili atamani kukuweka ndani kwani mkija oana atakuzoea na kukuchoka. Ukijiachia sana na kumpa papuchi kila anapokuita atakuzoea na kukuchoka kabla ya ndoa. Kama unataka ndoa muwe mnatoka mitoko ya wazi mingi zaidi ya ile ya siri atleast ratio ya 1:20 au 1:30.
So nilimwambia mpimie maana kumnyima kabisa kwa vijana wa skuhz haipo.
 

Nimekukubali sakapal,

Wewe ni kichwa kweli na jembe la nguvu...

Yaani bila kutumia akili, mabinti wa siku hizi watakuwa wanachezewa kama yebo yebo...Watapigwa kila upande kama mipira ya watoto wa uswahilini (wanategeneza kwa makaratasi wenzenu). Ndiyo maana nasikia wengine wamefikia hatua ya kutoa mtandao wa 0713 ili kubembeleza ndoa...

Na labda niwambia kitu, ndoa ya kubembeleza au kutolea rushwa haipo na hata ikitokea haiweza kumfikisha mtu popote..!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…