Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

Hahahaaaaaaaaaa! Ujue mimi sipo Danger Zone ndo maana naenjoy while it lasts!!!!!!!!!!

Situation yangu sio sawa na ya mtu aliekaa na mwenzie 6 years!!!!!!!! Huu ujumbe ni kwa wale waliofikwa na maji ya shingo!
 
ngumu kumeza lara 1, i'd feel like mie ndio naolewa kivile lol. nakusapoti though heri ujue kama ni kusuka au kunyoa and muwe 'on the same page'

Hahahaaaaaaaa! Ujue tatizo watu tunaogopa kucomfirm kwa kuhofia our worst fears will come true!!!!!! Kama hivo kfungashiwa virago! Mtu ndo anaona heri abaki akingojea a miracle!!!!!!!!!
 
Km namuona huyo dada vile! Daaaah tha world isn't fair jamani like unaeza sema the gal kamkosea kitu labda so anamlipizia kisasi? Ila ts more thn unfair!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahahaaaaaaaaaa! Ujue mimi sipo Danger Zone ndo maana naenjoy while it lasts!!!!!!!!!!

Situation yangu sio sawa na ya mtu aliekaa na mwenzie 6 years!!!!!!!! Huu ujumbe ni kwa wale waliofikwa na maji ya shingo!

lara 1 ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji........umri unafikiri unakawia tena na hawa kuku wa kisasa tunaowang'ata kila siku?....nimesifia avatar yako naona umekauka..............learn to say thank you....................it is agood manners too
 
Hahahaaaaaaaa! Ujue tatizo watu tunaogopa kucomfirm kwa kuhofia our worst fears will come true!!!!!! Kama hivo kfungashiwa virago! Mtu ndo anaona heri abaki akingojea a miracle!!!!!!!!!
very true binti. but it has to be done la sivyo hakutakuwa progress na mtaishia kuchukiana na kuja kusema "blaine kanipotezea muda wangu, 6yrs bila ndoa/mtoto halafu kaniacha blah blah"
 
very true binti. but it has to be done la sivyo hakutakuwa progress na mtaishia kuchukiana na kuja kusema "blaine kanipotezea muda wangu, 6yrs bila ndoa/mtoto halafu kaniacha blah blah"

Hahahaaaaaaaa! It has to be done ofcourse ila the question is When? Kila mtu ndo anaamua kuchukua mda wake kugather the courage and to expect the unxpected!!!!!! Hapo sasa some take 6 years, some 2 months and some like me the first date unauliza muhutasari wa hayo mahusiano! Hahahahaaaaaaaa!
 
lara 1 ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji........umri unafikiri unakawia tena na hawa kuku wa kisasa tunaowang'ata kila siku?....nimesifia avatar yako naona umekauka..............learn to say thank you....................it is agood manners too

Hahahaaaaaaaaaa! THANK YOU KWA SIFA (Usijifanye huoni herufi kubwa hizi!) Kuhusu umri si unaona hapo nimetoa Resolution yangu kabisaaa kuwa if i hit 30 sitoleta mzaha kabisaaaa! We si umeona hapo juu nimesema nitachukua hatua gani mbadala!!!!!!
 
Looh hyo 6yrs hapo santa ashakusoma ma-weakness yako yooote na km ndo una zile tabia zisizo na dawa ...'bby wll u marry me' itaishia kuwa a dream which will neva come true

Mi kamwaka na nusu tu nshaanza kusoma alama za nyakat cz the sooner the better meen kama ndo bby u knw nyiingi hata sichelewi kuingia tena sokon..

Altho ni wengi sana wapo kwny kind of relation had 8yrs its real crazyy!!!ukimuliza mtu anasubiri nini anakujibu nimetoka nae mbaal mwsho wa siku miaka inazid kukatika ss ndo imani imwingie mjamaa au aachwe kwny mataa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo lara ni kuwa wadada wanasubiri bila kuahidiwa. Kwa mtu makini anapaswa kujua malengo ya urafiki. Malengo ya urafiki kati ya mwanamke na mwanaume yanaweza kuwa zaidi ya moja au mojawapo kati: kupitisha muda (pass time) kuoana kusaidia shida ndogondogo kama pocket money au kusaidia masomo kwa wale walio vyuoni implied interest should be followed by express interest. Si busara kuanza kufunga safari bila kujua unakokwenda. Mtu anaishije na mtu miaka 6 bila kuelewa malengo yake at kwa sababu ana CPA FCA au CMA? Wewe unataka CPA au mume? Huyu mdada nadhani ni bogous na mwanaume pia ni mhuni
 
1-2yrs are sufficient kumsoma mtu na kujua kama kuna future au la. everyone ana muda wake lakini usisahau ngoja ngoja yaumiza matumbo (6yrs) na haraka haraka haina baraka (2months/1st date lol)
 
Nimetoka nae mbali zinawamalizaga watu si utani! Hadi atapoonyeshwa sawa tumtoka mbali ila tumefika tulikokuwa tunakwenda!!!!!!!!
 
Sio sababu ya CPA ni sababu anampendaaaa! Ndo maana amekaa nae ila kweli mwanume muhuni huyo
 
Mpende anayekupenda sio mbabaishaji, unless na wewe ni mbabaishaji kwa kuwa ndege wa rangi moja huruka pamoja ni vigumu kumpata mwanaume mhuni kama wewe sio mhuni
Sio sababu ya CPA ni sababu anampendaaaa! Ndo maana amekaa nae ila kweli mwanume muhuni huyo
 
Miaka 6 ni mingi sanaa,nahisi kama jamaa kafanya ukatili wa hali ya juu sana,na sijui huyo dada ataanzia wapi!

Kuna jamaa angu 1 anaombwa ushauri na dada 1 eti wapo kwenye uhusiano na bf wake mwaka wa nne saiv,jamaa anafanya kaz mkoani halafu gf wake yupo dar,anavyoeleza dada kuwa jamaa ake anakujaga kikazi dar na kujifanya yuko bize kiasi kwamba anashindwa kuonana na gf wake wakat huo huo anaweza kuonana na ndugu zake na akiulizwa lini tunaoana jamaa anasema bado ntakuambia,sasa nshu kama hii mwenye tatzo ni dada,lazima usome alama za nyakati!

Lara 1,cielo,amu,kiranga nk ndo wanaume wa type yenu mnaowataka mwenye mapene ya kutosha mwisho wa siku unafanywa standi(penda kwa TBS yako!)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaaaaaaaaa! Umetoa ushauri wa mbolea kweli!!!!!! Ila ukaona bila kumalizia na kutuchamba wana wa wenzio ushauri wako hautafika?
 
Marriage is a battleground not a joke at all.A men needs to love you and want to be with you .Marriage needs a lot of sacrifice and perseverance .
 
Tamaduni za magharibi zinapogongana na Tamaduni za Kiafrika!! kwa wanaume wa kiafrika lazima muwe makina sana!!
 
Hahahaaaaaaaaa! Umetoa ushauri wa mbolea kweli!!!!!! Ila ukaona bila kumalizia na kutuchamba wana wa wenzio ushauri wako hautafika?
Hahahaaaa!usinge comment hivyo,lazima ingenyesha mvua ya tope tena la 0713

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
msije kichwa kichwa kwa wanaume mtaonekana malaya!! wangapi watawaelewa?! not soo fast laidies!! "changanya na zako"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…