Ladies if you dress up like that, responsible Men would like to Marry you

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
1,186
2,108
You can cover your body and still look beautiful. Below are the pictures of how a responsible woman should dress. as a woman the way you dress matters a lot, people address the way you dress. There are ways a woman will dress and no man can take a her for granted, there way a woman will that everyone that sees her will respect her. When you naked yourself in the name of fashion people don't see you as a response lady and such dress attracts irresponsible men to you.

You don't have to expose your body to be attractive. You don't have to naked yourself because of fashion, dress to cover your nakedness. You don't have to expose your cleavage to show your are beautiful.

Carrera ladies, World class ladies, Presidents wife, Governors wife don't expose their body. It is only cheap girls looking for cheap recognition that expose their nakedness. Ladies, when you dress like this responsible men will like to marry you.

10fa3683ba3ac61684f4369d4330e668c958331d659d7f3134e2f30174bf8cec

15af2d9dc6c0037d748f8dd64ca9efbb

45e592ba05e573e680e129eda39297ad

7f41f984fe4db6809956e8b458879778

ec4b36b3f016722d5ddaddc89333ab8a

3898d861459c6cc560613fde5c0d5db2

f20204e562d92331edda5aa05bb19015

d263546ae8ee0c0c98b91c9289b4f62f

fccecb208bae4a8af1f78e52aecded72

e299f69d016a89c8979139c565c0bac1

09b14b36fff69f9391767d177ed403dc

fb062dc7c684136e6666858f5231176f

fcb3f2a5c3e07cf91a5ffdb1fc710778

f5d2a45868c3ef9915a3ca83250fd5f0

2d149345c31a90b0087e2d9c93fec6d4

14a8430860e4cda0e866923e2acf5e41

1b8fca3d4211d5778eddc420e0e87e8e

33acd66a9f0bb8b0fdaa29652b5a99f5421d71a32cb2e4df7e242185524ef93c
All Pictures are used for illustrative purpose
 
Unaweza kuvaa mpaka gunia na bado usiolewe, haya mambo ya ndoa tuyaache tu. 🚶🚶

Let's meet at the top, cheers 🥂
Sawa
Unaweza Ukakuta Mtu Anajioa Mwenyewe
Yaani Anajitolea Mahari Na Baadaye Mwisho Anaachika
 
Nimeiona hii, tena kwenye familia yangu kabisa.

Let's meet at the top, cheers 🥂
Mkuu
Tafadhali Anzisha Thread Kuhusu Hili Jambo Watu Wapate Ujuzi
Kumbuka Wengi Wanadhani Mengine Hapa Jamiiforums.com Ni Maigizo
 
Natamani sana iwe hivyo mkuu, lakini sidhani kama itawezekana kwa sababu fulani fulani....

Kiufupi,
Mlengwa alikuwa ni single mother, ni wale aina ya wanawake ambao wanahisi kwamba they can have it all, ofcourse alizaa mapema (mimba za ujana) lakini hakuwa na future yeyote na yule mwanaume.

Mdada alijaaliwa maisha, pesa za kubadilisha mboga hazikumpiga chenga, akatumia pesa yake kubadilisha kila mwanaume anaehisi yeye anamfaa.

Wakati huo wapo waliojitokeza kutaka kumuoa lakini kwake hakutaka kusikia habari za marriage sababu kubwa alikuwa hataki kukosa uhuru, kuna lifestyle ambayo alikuwa anaihishi na alikuwa akiipenda.......Muda haudanganyi, umri ukaenda (40's) ikafika hatua akatamani kuingia kwenye ndoa lakini changamoto ikawa kumpata anayemtaka kwa muda huo.......yaliyotokea ndio hayo uliyoyasema hapo awali mkuu.

Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Unakuta Wadada Wengine Akiolewa Anabadili Na Majina Aliyokuwa Anatumia Mwanzo, Changamoto Akiachika!!
 
Kwakweli mavazi hayo hayawezi kunishawishi kumuoa aliye yavaa,
sana sana nitamtamani kingono.
 
Back
Top Bottom