Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,284 Dec 3, 2013 #2 Dawa ni kuweka tu meza za vioo
tunalazimika JF-Expert Member Nov 5, 2010 1,098 256 Dec 3, 2013 #3 Easymutant said: View attachment 124515Kwa hisani ya watu wa Marekani........ Click to expand... umetaka kuniua kwa kucheka_ hiyo ya kwa hisani ya watu wa marekani ndo kabisa
Easymutant said: View attachment 124515Kwa hisani ya watu wa Marekani........ Click to expand... umetaka kuniua kwa kucheka_ hiyo ya kwa hisani ya watu wa marekani ndo kabisa
NAPITA JF-Expert Member Apr 2, 2012 5,076 2,243 Dec 3, 2013 #4 Kumbe ijumaa nitakuwa makini isije yakafanyika haya mambo ya hisani ya watu wa Marekani..
Easymutant R I P Jun 3, 2010 2,564 1,129 Dec 3, 2013 Thread starter #7 Horseshoe Arch said: Dawa ni kuweka tu meza za vioo Click to expand... Inabidi kusuvei kwanza venue ucheki kuwa ni meza gani wanatumia tofauti na hapo maumivu!:eyeroll1:
Horseshoe Arch said: Dawa ni kuweka tu meza za vioo Click to expand... Inabidi kusuvei kwanza venue ucheki kuwa ni meza gani wanatumia tofauti na hapo maumivu!:eyeroll1: