Labda Moshi inaongoza kwa ulevi

Labda Moshi inaongoza kwa ulevi

sambeke

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
713
Reaction score
651
Wakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.
Screenshot_20180914-144352.jpg
Screenshot_20180914-144241.jpg
 
tulitoka kwenye msiba mwaka jana moshi ilibaki kidogo gari idondoke,maana kuanzia dereva na watu wote kwenye gari tulikuwa pombe balaa, hakuna hata mmoja aliekuwa na nafuu, maana wote kwenye gari tulikuwa ni wachaga,
kwenye msiba waliruhusu watu kuondoka na pombe, huku gari inatembea huku watu wanakula pombe
 
Wakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.
View attachment 866424View attachment 866425
Hii umeamua kuwazalilisha watu wa moshi,,,eti ww nan mchungaji ndo mlikua sober,,, huna lolote ww utakua una chuki na wachaga,maana kuna watu wa kanda ya flan wakiongozwa nq kiongoz flan wamekua wana chukia wachaga,, kwanz kudhibitisha sio wachaga hao maana wachaga hawana utamadun wa kutumia mirija kunywa pombe... Ww ni mzandik ,muongo ,mfitini,mnafik,mchonganish na MTU usiye faa kuigwa
 
Wakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.

Huu ni uongo kiwango cha lami nalengo sijui ni nini?
Angalia Picha ya mwisho kwa Mchaga yoyote na Anaye wafahamu huwa wanakunywa kwa kutumia hiyo midude?

Binafsi nafahamu hizi Picha utakuwa umeokota Mikoaya Mbeya au Rukwa hasa Sumbawanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom