Kavo mvo maeMazishi yakisindikizwa na "Warii" ndo mtu anawekwa vizuri sana pema peponi mazee, Hata lile kaburi, halichimbiki bila "Wariii" mazee. Hiyo ndo mila. Jembe la kwanza halafu tunamwaga tone pale ili wasee watulie tuwapelekee mtu wao fasta.
Tena wasee walisema; Bila "Warii" tusingelizaliwa. Next time usihudhurie mazishi yangu kama hunywi wariii.
Khavo mmeku iyoKavo mvo mae
Mngeshuka kwenye hiyo gari inayotrmbea muibebe nyie.tulitoka kwenye msiba mwaka jana moshi ilibaki kidogo gari idondoke,maana kuanzia dereva na watu wote kwenye gari tulikuwa pombe balaa, hakuna hata mmoja aliekuwa na nafuu, maana wote kwenye gari tulikuwa ni wachaga,
kwenye msiba waliruhusu watu kuondoka na pombe, huku gari inatembea huku watu wanakula pombe
Aika MndumiKhavo mmeku iyo
Mkuu kwa taarifa yako uchagani pombe ni heshima kubwa sanaa..mazishini pombe ni kitendea kazi na sehemu muhimu sana ya mazishi..pale kaburini jembe la kwanza tu lazima pamwagwe kidogo ili mambo yaende sawa.hapo kiboriloni ni old moshi je ingekua ni Rombo si ndio ungezirai kabisa!!ivo kisewa.!!Wakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.
View attachment 866424View attachment 866425
mkuu ata mimi nilikua msibani hapo ungepanda kidogo kwa juu njia 2 tulimalizia hapo kwa bia na kitimotoWakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.
View attachment 866424View attachment 866425
Mkuu nilikuwa nina haraka kidogo ila nilikuwa na enjoy sana kuona vijana wako vizuri balaa, ila ulimwina yule Rasta aliyekuwa anaimba liturugia??? Ilikuwa full vitukomkuu ata mimi nilikua msibani hapo ungepanda kidogo kwa juu njia 2 tulimalizia hapo kwa bia na kitimoto
BalaaaHahahahahah kivurige wa bia huyo
Mi niko hapa Kiborloni kwa profesa Vulata...Vijana wanakunywa mbege kuanzia saa 1 asubuhiMkuu nilikuwa nina haraka kidogo ila nilikuwa na enjoy sana kuona vijana wako vizuri balaa, ila ulimwina yule Rasta aliyekuwa anaimba liturugia??? Ilikuwa full vituko