Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Kwa baadhi yetu tunaamini NENO la Mungu linaishi milele kwa maana ya kwamba mazingira yanaweza kubadilika, wahusika wakawa tofauti ila NENO lilelile linasimama.
Ukisoma Kitabu cha Waamuzi (Book of Judges) sura ya 9 kuna story moja ambayo naamini inatupa fundisho fulani kwa yale yanayoendelea Tanzania na hata yale yajayo (ambayo kwa kweli ni ya kutisha).
Nawasihi mchukue muda kusoma sura yote hiyo ya 9. Itatuelezea vizuri tumejikwaa wapi. Nimetaka kushare nany hili NENO kwa muda mrefu sana ila nimekuwa kila mara nasita nikijua hamtanielewa. Bado sina uhakika kama ni wakati muafaka ila akinielewa mtu mmoja tu inanitosha.
Mwanzo nilidhani Tanzania ndiyo Shechem ila hivi karibuni nimekuwa napata tafsiri kwamba ni CCM, ni mvutano wa ndani ya ‘familia’.
Bado najiuliza Jotham atakayesimama ndani ya chama na kuongea na wanachama wenzake kwa ujasiri kuhusu Abimelech atakuwa ni nani?
Halafu kuna mwanamke atakayekuwa kiboko ya Abimelech. Aha!