Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,785
- 165,473
Miongoni mwa watu waliouawa kikatili ni mwandishi Daudi Mwangosi.Naamini kilio chake hakikuwa kama kilio cha samaki na sasa Mungu amejibu.
Kuna watu walipopata madaraka walijisahau na kudhani hii nchi ni mali yao na kwamba watatawala watakavyo huku wakisahau kuna siku watatoka madarakani na kubaki raia wa kawaida tu.
Aibu yote waipatayo leo hii na yote yanayowakumba kwa sasa, yanakuja kama laana ikiwa ni matokeo ya waliyoyatenda walipokuwa madarakani.