kutolewa utumbo unaona jambo dogo.halafu wahusika kupandisha cheo,sasa wananchi wa iringa nimuda wakuhikumu ccmmkuu mwacheni Marehemu Mwangosi apumzike kwa amani huko aliko. Tuendeleze siasa bila kuleta majonzi kwa familia za marehemu.
mkuu mwacheni Marehemu Mwangosi apumzike kwa amani huko aliko. Tuendeleze siasa bila kuleta majonzi kwa familia za marehemu.
Mkuu hivi hata familia haikulipwa kwa kosa lile la wazi?