mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Kuna wengine hudiriki kusema "MACHOZI YA SAMAKI..!"
Wakiimamisha hata ungeliaje machozi yako hayana effect yeyote.eeeh wakimaanisha nini?
We ni mtu hatari sana ujue, na hapa kaa ujue huyo ndugu anaadhibiwa na nguvu mbaya za dunia hii na sio Mungu, hivyo msamehe bure tu ili wewe naye muondoke kwenye hicho kifungo, uchungu huua mafanikio.Hapana, maumivu yale kidogo nione kifo hapana, machozi yale aliyofurahia kuyaona kipindi kile wacha yamloweshe.
Unaweza kulithibitisha hili Mkuu?, mwanaume siku zote ni mpambanaji na mhangaikaji hivyo humkuta akikumbana na mazingira hatarishi ambayo kwa asilimia fulani hupunguza kinga/afya au kuchukua maisha yake kabisa. Ukimwacha au kuachwa na mtu si tiketi ya kupitia magumuUmewahi kujiuliza kwanini wajane ni wengi kuliko wagane!
Ni machozi ya wanawake yanawamaliza wanaume
Mkuu ukilifikilia hili la laana ktk mapenzi unabaki njia panda.....bt trust me watu waliofanikiwa/ na wanaoendelea kufanikiwa wengi wao ni waumiza wapenzi zao kihisia.....hawajali! You knw why?? Koz they believe in risk taking....kwa hiyo walishazoea kutake risk ......je hao utawaongeleaje???Kwa maana hiyo hata changudoa wa bongo muvi ukimpiga miti na kusepa huku akihisi wewe ndiyo mtaji wake, ukimuacha kwa kejeli na yeye kukusemea mbaya utadhurika? A changudoa tena from bongo movie?
U mjinga, kulala na mtu ni maagano na yale ulioahadi ni sawa umesaini mkataba bila kusoma na kuna wanaosimamia mkataba/maagano. Wanaume wengi waliokuwa wakijiona wajanja kwa kuumiza wanawake maisha yao huwa mabaya. .. ndoa zao ni za migogoro, wengi wameoa wanawake wa ajabu ajabu, wanafanya kazi sana maendeleo yao madogo, wengine wasomi ila wanaacha kazi kila siku hawawezi kutulia.Yaani hapa tusi tishiane kabisa mi naamini hakuna laana ya mpenzi
Wakiimamisha hata ungeliaje machozi yako hayana effect yeyote.
Kabila limekujaje hapawewe ni kabila gani?
Great message. Just, karma knows no gender. Once you're on that puta's list, you'll get served, male or female.
Wamekwambia magumu yao, unadhani mafanikio ni pesa tu? Wengine hawana amani na wana majutoMkuu ukilifikilia hili la laana ktk mapenzi unabaki njia panda.....bt trust me watu waliofanikiwa/ na wanaoendelea kufanikiwa wengi wao ni waumiza wapenzi zao kihisia.....hawajali! You knw why?? Koz they believe in risk taking....kwa hiyo walishazoea kutake risk ......je hao utawaongeleaje???
Kaa chini hapo ulipo vuta picha ya watu watano tu wanaofanya vzur ktk maisha yao then angalia file lao la mahusiano ktk mapenzi likoje....utakuta ni hit and run! So mapenzi hayana lana
Daah mkuu inaonyesha waliokukosea walipata wakati mgum sana kwako, kweli kusamehe ni vigum lakini jitahidi mkuu, usilipe kisasi mwachie Mungu, unapomsamehe mtu unamwachia deni ambalo hataweza kulilipaKusamehe napo ni mtihani,sio rahisi kama mkosaji anavyofikiria tena makosa ya makusudi yanaumaga balaa ni basi tu We love God so kupenda watu wake (wema kwa wabaya) ni amri otherwise walioniumiza wote acid zingewahusu,kama sio sumu,au kuchoma nyumba zao,achilia mbali kuwatengenezea ajali au hata kuwakodia majamaa wawageuza nyuma na picha juu kubandika mji mzima angalau tujumuike pamoja ktk maumivu.
Tuwatendee wenzetu tunayopenda kutendewa,tuwe wakweli ili mwenzio ajue atajiweka position ipi kwako,au aamue kuliwa kwa kupenda ye mwenyewe na sio kwa uwongo wako....
Th name umenena vyemanimesoma huu uzi na comments. nimeona wanaoathirika sana ni wanaume kutokana na kuacha wenza wao. pia kuna wanawake ni wagumu kusamehe
mimi nimeachwa zaidi ya mara tatu na wanawake ila wanadunda tu na maisha yao.
Hisia sio kitu cha kuchezea kabisa. Hebu tujiepushe na haya mambo ya kuendekeza tamaa za mwili wakati huku unajua unaumiza wengine.
Heshima na upendo vituongoze sisi sote
Bwana mdogo kuna hilo. Lakini lingine ni kiwa tunapotafuta wenza wetu huwa tunaweka.masikhara pembeni. Mwanamke wa kumwoa ni yule analeta rizki kwa maana ya upepo na utakula mbingu hapa hapa duniani. Mwanamke huyu kama.ulivosema akikuombea kwa.mungu basi mbingu inafunguka..akitoa machozi mbingu zinafunga....mheshimu sana huyo mwanamke kwani ndoa hufungwa peponi...
Ndio maana wengine hukosea mke wa kwanza wanaangalia kuoa matako au miss bantu halafu nuksi zinaanza. Akistuka anasaihisha kwa mke wa pili ndipo anaanza kuonja pepo....
Wanaweke wengine ni nuksi tu...ukimnunulia tu hata soda lazima ukitoka hapo gari igonge
Unaonekana kujihesabia haki, hao bongo movie unaowaita changudoa ni watu nao kama wewe na dada zako na Inawezekana dada zako ndio washenzi zaidi.Kwa maana hiyo hata changudoa wa bongo muvi ukimpiga miti na kusepa huku akihisi wewe ndiyo mtaji wake, ukimuacha kwa kejeli na yeye kukusemea mbaya utadhurika? A changudoa tena from bongo movie?
Inaelekea ameumizwa sana sasa amekuwa suguHahahaha hapana chezea mama Brenda,kisiki cha mpingo
Brenda kumbe ni wengi!hakyanani sijui nilioshewa nini utotoni, halafu huwa nasamehe kabisa na kusahau ila wanakuja wenyewe na magoti juu...chaa pole yao