Weekend hii buana, usitake tuanze upya.Makubaliano yepi best?
Maana ya kuvunjika na kupondeka moyo ni "kunyenyekea chini ya Mungu na kujua yeye ni mwenye uwezo na nguvu zote; kutokuwa na kiburi na kujiona wewe ni bora kuliko wengine, kutokuonea na kunyanyasa wengine, kutokujivunia ulivyo nayo na kujisifia kwa yale unayoyafanya na kutokudharau wengine au kuwapuuza".Sijaelewa, moyo wa kupondeka ni moyo wa aina gani?
CC Heaven Sent kwa msaada, huku nikisubiri jibu la Nalendwa
Maana ya kuvunjika na kupondeka moyo ni "kunyenyekea chini ya Mungu na kujua yeye ni mwenye uwezo na nguvu zote; kutokuwa na kiburi na kujiona wewe ni bora kuliko wengine, kutokuonea na kunyanyasa wengine, kutokujivunia ulivyo nayo na kujisifia kwa yale unayoyafanya na kutokudharau wengine au kuwapuuza".
Kwa kiinglish
"When a human spirit stops justifying its wrong choices, awakens to the depth of its depravity, and humbly accepts God’s righteous condemnation of sin, contrition is present. A contrite heart offers no excuses and shifts no blame. It fully agrees with God about how evil it is. A contrite heart throws itself upon the mercy of God, knowing that it deserves nothing but righteous wrath "
Ila ki jf tuna definition yetu ya moyo wa kupondeka, ntarudi baadaye teh
huu ni ukweli ambao wengi wetu tunaukataaAisee Kasie umenikumbusha kisa fulani hivi kuna kijana nampa jina la [HASHTAG]#John[/HASHTAG] alimtia mimba bint fulani,alafu akaikataa. Baada ya miaka ya miaka kadhaa kupita mdogo wake wa mwisho na [HASHTAG]#john[/HASHTAG] alitiwa mimba na kijana fulan jiran yao,yule kijana nae akaikataa ile mimba. Miaka miwili baade [HASHTAG]#John[/HASHTAG] akaoa, kabla ya ndoa hakuwah kuzini na yule bint,usiku wa kwanza wa ndoa [HASHTAG]#John[/HASHTAG] akagundua mkewe hakuwa bikra kama alivyoambiwa kabla ya kumuoa,Mkewe akamuomba msamaha [HASHTAG]#John[/HASHTAG] na kumuomba amfimchie aibu ile, basi kwakuwa # john nae hakuwa msafi kiivyo akaamua kumsamehe mkewe. Baada ya kama miaka mitatu [HASHTAG]#John[/HASHTAG] na mkewe walifanikiwa kupata mtoto wa kike,yule bint alipofikisha umri wa miaka 5 alipatwa na dhoruba la kubakwa na mlinzi wa nyumban kwao. Baada ya lile tukio [HASHTAG]#John[/HASHTAG] alilia sana akaanza kureflect maisha yake yote kwa ujumla,akawashirikisha na viogozi wa dini juu ya ile kadhia. Akaambiwa afanye toba kwani yale yote yalikuwa yamechangiwa na ushiriki wake wa kuwaumiza mabint wakati wa ujana wake. Hakika hawa dada zetu tujitahidi kuishi nao kwa wema,kuwaumiza hakuwezi kutuacha salama.
Mama yangu alikuwa ananiambia niwafanyie wema watoto wangu ambao bado hawajaziliwa kwa kuwachagulia mwanamke mwema na maneno haya nawaambia na dada zangu humu wafanyieni wema watoto wenu mnaowatarajia kwa kuwachagulia wanaume wema vinginevyo vizazi vyetu haviwezi kuwa salama.
ZINAA NI DENI IPO SIKU LITALIPWA NA MUMEO,MKEO.MTOTO WAKO,MJUKUU AU KITUKUU ETC Cc Kasie
hata wao waliokuumiza watalipia...I see! sijui hata nianzie wapi...nime-date na mabinti wengi sana enzi za ujana wangu. mtaani, shuleni, ofisini etc. whether ni mzungu, mweusi or Asian..wote nimepitia tena kwa kishindo. kuna mmoja tulizinguana akasema kuwa lazima aniroge....nikarudisha relationship na akasahau mambo ya kuniroga. sadly, simba akimla pundamilia...jamii yote ya pundamilia wanamlaani simba kwa ukatili....though hawahesabu meteke ya punda aliyompiga simba....vivyo hivyo, na sisi wanaume tuna makovu ila useme tu tuna mioyo migumu kama Farao
Kawaida ya binadam ni mara chache sana kumkuta anajifunza kutokana na makosa ya wenginehuu ni ukweli ambao wengi wetu tunaukataa
I don't want to preach, lakini zinaa ndio mzizi wa matatizo mengi ya maisha, hata tukipinga vipi...
Preach sis preach, hata kiduchuuuhuu ni ukweli ambao wengi wetu tunaukataa
I don't want to preach, lakini zinaa ndio mzizi wa matatizo mengi ya maisha, hata tukipinga vipi...
Hauna tatizo maana umekwepa njia mbaya umeikwepa ajali,maana ndoa na mtu wa tabia mbaya ni ajali mbaya kuliko ajali zote,ni heri kuvunja uchumba kuliko ndoa,kibaya ni km mtu yupo sahihi ukamtapeli,Mkuu kwamfano bint umemuhaidi kuwa utamuoa ila kwabahati mbaya unagundua hana tabia nzur zakukupendeza naukaamua kumuacha baada yakumkanya sana naakawa sio mtu wakubadili tabia vipi endapo ukaamua kumuacha pasipo yeye kupenda anaweza kukuachia laana mtu wahivyo kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah jf watuwekee forum special ya kupreach tusiwachoshe wengine[emoji3] [emoji3]Preach sis preach, hata kiduchuuu
Oooh umenikumbusha, kule intelligence huwa kunakuwa na nyuzi za aina hiyo na hata MMU nishakutana na nyuzi kuhusu ndoto, soul ties etc. Jukwaa la Dini wengi hawana access. Ila hata humu kwenye comments sio mbaya kupreach hata kidogo, mwingine ndo akishasoma anaanza kujitafuta so atatafuta maarifa zaidihahah jf watuwekee forum special ya kupreach tusiwachoshe wengine[emoji3] [emoji3]
ooh yes umenikumbusha kule ni kuzuri,nilipasahauOooh umenikumbusha, kule intelligence huwa kunakuwa na nyuzi za aina hiyo na hata MMU nishakutana na nyuzi kuhusu ndoto, soul ties etc. Jukwaa la Dini wengi hawana access. Ila hata humu kwenye comments sio mbaya kupreach hata kidogo, mwingine ndo akishasoma anaanza kujitafuta so atatafuta maarifa zaidi
Utavunjaje mkuu, maanaHili halina ubishi jamani. Tukijiangalia wengi huku mtaani unakuta baba yako alikorofishana na mama yako wakaachana ukabaki na baba yako. Unakuja kuoa na wewe unakorofishana na mke unabaki na mtoto, au kama ni wa kike unajikuta umezaa siku ile ile aliyokuzaa mama yako! 70% ya watu wamerithi mapito ya wazazi. Ukigundua ni vizuri kuvunja usiendelee kuathirika na watoto wako wasipite walikopita babu, bibi na wazazi wao.
Mama Mchungajiiiiii, I don't touch you oooohooh yes umenikumbusha kule ni kuzuri,nilipasahau
My dear, mtu yoyote akikuumiza usinyong'onyee sana, ongea na Mungu, mshirikishe yeye, muombee aliekukosea
kuna mstari huwa naupenda sana nikipitia kuumizwa kwa kukusudia na mtu yoyote
Zaburi 105:15 "Msiwaguse masihi wangu, wala msiwadhuru nabii zangu"
raha sana kuwa mtoto wa Mungu[emoji3] [emoji3],baba mwenyewe atawashughulikia kwa mda wake,wewe unatulia tu...
same wewe pia unajifunza kuto kuwaumiza wengine maana unajua Mungu hapendelei na neno lake hutimia
mkuu imebidi nicheke tu Heaven Sent pitia hapa,neno lako linaitajikaMmmh basi hiyo laana inatutafuna wengi maana babu yangu alikuwa kiboko
spend less, save more
Kweli aysee. Maana dah kessie Leo kanifunguamkuu imebidi nicheke tu Heaven Sent pitia hapa,neno lako linaitajika
umeongea point, i hope itamfungua mtu mmoja walau atakaepita na kusoma ujumbe wako...Mama Mchungajiiiiii, I don't touch you ooooh
At times huwa naona ni better mtu aniumize kuliko mimi kumuumiza. It hurts though, but been there and God brought me through it. And the good thing ni kuwa nimejifunza kusamehe hata bila mtu kuniomba msamaha. Then kiroho safi tu huwa nashukuru "Thank you for the party", no hard feelings; no regrets. Kuna watu wanaumia haswaa, wanaishi na uchungu haswa maisha yao yanaharibika completely because someone has hurt them, so huwa nawaza hivi maisha ya mtu ndo yaharibike kwa ajili yangu? It shall never be my option aisee. I ain't strong, but the Grace of God suffices me. So huwa nawaza huyu mtu nikimuumiza, will he pass trough it? Atanisamehe easily as I do? Above all, will I be able to forgive myself.? Sometimes shetani anatutesa sana kupitia makosa yetu ya past, unaishi kwa "kujihukumu sana" kwa kuwa ulimtendea mtu vibaya, muda wote anakuwa busy kukushtaki na utaishi maisha ya tabu mnoo. So better tu waniumizage, though not to that extent lol, I don't consent that no more
Kuna kitu ulikiongea kule juu kuhusu uzinzi and ndo kitu kikubwa sana Kinachotesa Ndoa zetu za sasa hivi. Ooh ndoa za siku hizi blah blah, but chanzo ni sisi wenyewe. Teh we are doing it for fun, and tukifika ndoani ile starehe ndo inaanza kutuplay sasa na yenyewe. Tumeshahalalisha uzinzi, kuzaa bila ndoa and still tunajustify makosa yetu, as a result laana hizo zinaendelea kutufuata tu. Several times tunaongeleaga kuhusu misingi ya mahusiano yetu, tunaijenga kwenye vitu gani au kwa nani? Mahusiano yetu mengi tumeshayajengea madhabahu za uzinzi, tumeweka nazo maagano ambayo yataambatana na vizazi vyetu. No wonder uasherati kwenye ndoa unakuwa kitu cha kawaida tu just like sex before marriage. Familia za "kwa baba tupo kadhaa, kwa mama tupo kadhaa zinazidi kuwa nyingi, unfortunately na watoto wetu wanafuata nyayo zetu, siku hizi watoto wakifika tu chuoni basi wanagraduate na watoto juu. Tunaona kitu cha kawaida but deep down hii ni shida kubwa sana. Single parenting ndo inakua hatari, na watoto wetu wanafuata mule mule.
Yes hakuna dhambi ndogo na kubwa ila uzinzi ni special case, madhara yake ni makubwa sana tofauti na tunavyoyaona katika ulimwengu wa macho. Before kuanza mahusiano mapya/Ndoa kila mtu afanye toba, kuvunja hizo madhabahu na maagano na kujitakasa na kuziweka wakfu ndoa zetu. Otherwise tunachofanya ni kwamba kila mtu anatoka na garbages zake from mahusiano ya nyuma then tunaziunganisha, tukitoa hapo ni bomu. Kuna soul ties kibao zinatufunga huko nyuma, tulishaolewa na kuolewa kitambo, ndoani we can't offer anything. Ingawa katika yote pia tunahitaji neema ya Mungu katika ndoa zetu. Mungu na atusaidie
(Mmh mjigazeti huu khaa)