Laana ya Mapenzi .....

Mkuu kwamfano bint umemuhaidi kuwa utamuoa ila kwabahati mbaya unagundua hana tabia nzur zakukupendeza naukaamua kumuacha baada yakumkanya sana naakawa sio mtu wakubadili tabia vipi endapo ukaamua kumuacha pasipo yeye kupenda anaweza kukuachia laana mtu wahivyo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani kupata laana maana ulikuwa na nia ya dhati kabisa ya kutaka kumuoa.

Usijali.ila mshirikishe Mungu akuonyeshe MTU sahihi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…