Kwa hiyo tendo la ndoa halihusiani na mambo ya kiroho ? Na pale ndoa inapounganisha mwanamme/ mke na mwanamme/ mume kuwa kitu kimoja, na kule kushirikiana kutoa kiumbe/ mtoto, hapo vipi mkuu.. ?Hizo Ni elimu za iman za zaman hawakuwa na vipimo na science kubwa
Ni sawa tu na Sasa hivi tunajua dhambi ya kukata miti ndio inayosababisha mvua iwe ndogo lakini zaman tulijua dhambi ya Uzinzi na Wana wanawake kukaa uchi ndio ilisababisha kutonyesha mvua
Kimsingi dhambi ya uzinzi analeta maradhi.fullstop
Una uhakika gani kama huo mkono unaotumia kujistarehesha hauna mikosi?
Mkuu toka lini mikosi ikaambukizwa ? wanaambukizana magonjwa sio mikosiKatika mambo ya kiroho, tumefahamishwa kwamba mwanaume na mwanamke wanapojamihiana kiroho huwa wanaungana/wanakaribiana kwa nafsi, kama sikosei. kama ni hivyo, tunafahamu kuna watu wana mikosi, laana, balaa n.k.
Je ni kweli wanapozini huambukizana pia hizo vitu...?
Wasalaam !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi namjua jamaa maisha yalipoanza kumnyookea akaanza kufungulia zipu,haikupita miezi sita alikuwa na hardware akaifunga na madeni juu,haraka aliposhtuka akakimbilia kuoa kwao na kuhama mji,sijui huko aliko kama kapata nafuu ya maisha...Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi
Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi
Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi na Imani uso kwa uso.Mkuu toka lini mikosi ikaambukizwa ? wanaambukizana magonjwa sio mikosi
Katika mambo ya kiroho, tumefahamishwa kwamba mwanaume na mwanamke wanapojamihiana kiroho huwa wanaungana/wanakaribiana kwa nafsi, kama sikosei. kama ni hivyo, tunafahamu kuna watu wana mikosi, laana, balaa n.k.
Je ni kweli wanapozini huambukizana pia hizo vitu...?
Wasalaam !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli imani ni upofuSayansi na Imani uso kwa uso.
Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi
Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi
Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua
Sent using Jamii Forums mobile app