Laana na mikosi inayotokana na zinaa, hii kitu ina uhalisia?

Zionist

JF-Expert Member
Dec 5, 2017
1,830
2,881
Katika mambo ya kiroho, tumefahamishwa kwamba mwanaume na mwanamke wanapojamihiana kiroho huwa wanaungana/wanakaribiana kwa nafsi, kama sikosei. Kama ni hivyo, tunafahamu kuna watu wana mikosi, laana, balaa n.k.

Je, ni kweli wanapozini huambukizana pia hizo vitu...?
Wasalaam !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Ni elimu za iman za zaman hawakuwa na vipimo na science kubwa
Ni sawa tu na Sasa hivi tunajua dhambi ya kukata miti ndio inayosababisha mvua iwe ndogo lakini zaman tulijua dhambi ya Uzinzi na Wana wanawake kukaa uchi ndio ilisababisha kutonyesha mvua
Kimsingi dhambi ya uzinzi analeta maradhi.fullstop
 
Kwa hiyo tendo la ndoa halihusiani na mambo ya kiroho ? Na pale ndoa inapounganisha mwanamme/ mke na mwanamme/ mume kuwa kitu kimoja, na kule kushirikiana kutoa kiumbe/ mtoto, hapo vipi mkuu.. ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi

Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi

Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mambo ya kiroho, tumefahamishwa kwamba mwanaume na mwanamke wanapojamihiana kiroho huwa wanaungana/wanakaribiana kwa nafsi, kama sikosei. kama ni hivyo, tunafahamu kuna watu wana mikosi, laana, balaa n.k.
Je ni kweli wanapozini huambukizana pia hizo vitu...?
Wasalaam !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu toka lini mikosi ikaambukizwa ? wanaambukizana magonjwa sio mikosi
 
Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi

Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi

Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi namjua jamaa maisha yalipoanza kumnyookea akaanza kufungulia zipu,haikupita miezi sita alikuwa na hardware akaifunga na madeni juu,haraka aliposhtuka akakimbilia kuoa kwao na kuhama mji,sijui huko aliko kama kapata nafuu ya maisha...
 
Hujui namna ya kujieleza maana uzinzi au uasherati tayari ni mkosi achalia mbali laana. Sasa nyoosha maelezo
Katika mambo ya kiroho, tumefahamishwa kwamba mwanaume na mwanamke wanapojamihiana kiroho huwa wanaungana/wanakaribiana kwa nafsi, kama sikosei. kama ni hivyo, tunafahamu kuna watu wana mikosi, laana, balaa n.k.
Je ni kweli wanapozini huambukizana pia hizo vitu...?
Wasalaam !!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ni kweli madem wangine gundu tuu
wapo...
# ukimuudhi hupati pesa

#ukiachana nae utapata mabalaa tena unaeza ukakosa dem wa kupiga mashine hata mwaka mzima
#wapo ambao ukimgonga tuu na balaa zinaanzia hapo ukikaa vibaya hata kazi unapigwa chini

m ni muhanga wa izo mambo baada ya maovyohovyo ya muda mref nkamtafta sheikh 1iv akanpiga dua now nko sawa kbs ofkozi sketi ilkua haikatizi lkn asaiv...uii kula kwa macho somtyms sio dhambi😂

bar flan ivi kuna booonge la toto ila sasa mkakaa nae tuu lazima ngumi zipigwe sjui hata ni nini
 
Mkuu Umesema Kweli Aisee lol
MUNGU atuepushe sana
Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi

Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi

Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom