Swali: wanaotumia condoms au wanaoenda kavu nyama kwa nyama ni nani rahisi kuchukua mikosi na balaa za mwenza wake..

Mtapenda

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
1,115
2,055
Nimeuliza hili swali kwasababu humu kuna thread inazungumzia watu wanaofanya ngono na malaya wanakua rahisi kubeba mikosi na balaa kutoka kwa wale malaya kwasababu watu walio wengi uacha mikosi yao kwa wale watu huenda kwa kupenda ama kuto kupenda muda mwingine maelezo ya waganga

Je ukingonoka na malaya kwa kutumia condoms kuna uwezekano wowote wa kubeba laana na mikosi iliyoachwa pale maana mimi binafsi najua connection ya ngono ni ile ya nyama kwa nyama kunakua a muingiliano wa shawaha na ute ute katia ya mwanamke na mwanaume...

Embu mtujuze.. maana mbususu ni tamu3 sanaa..

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani iyo condom unavaa mpaka kwenye mapaja na kiuno inapoishia mapu.. yanagusa sehem ya mwanamke kwaiyo mabalaa yako pale pale na mikosi juu mzee si kwa condom ama nyama kwa nyama
 
Sasa comndom zinazuia nini wakat kuingiliana ni kule kule mikosi na laana sio mbegu kwamba zitabaki kwenye huo mpira mikosi na laana ni roho unazoachiliwa n huyo uliyelala naye Kama anazo
 
Kutishana tu we kama unamikosi yako ni yako tu mkuu!..

Hizo ni mbinu za kisaikolojia kuwafanya watu waogope na waache uzinzi lakini mwafahamu ukweli uzinzi bado upo na utaendelea!.
Hakuna mtu asie namikosi na bahati,tunaishi kwa uwezo wa akili zetu na jamaa wanaokuzunguka.
 
Kwani iyo condom unavaa mpaka kwenye mapaja na kiuno inapoishia mapu.. yanagusa sehem ya mwanamke kwaiyo mabalaa yako pale pale na mikosi juu mzee si kwa condom ama nyama kwa nyama
Kwahiyo unamaanisha ata ukimshika mkono malaya tayari ushapata laana na mikosi yake....

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Sasa comndom zinazuia nini wakat kuingiliana ni kule kule mikosi na laana sio mbegu kwamba zitabaki kwenye huo mpira mikosi na laana ni roho unazoachiliwa n huyo uliyelala naye Kama anazo
Mi nkajua hizo laana zinaingia kupitia sehemu za siri

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom