La kwanza la 1999 tuna nuksi

Aisee kubishana na watu humu is a serious waste of time and energy, watu wenyewe walianza la kwanza 1999??? Duh!
Lakini mimi nawapongeza hili ni jukwaa lao sahihi hapa JF kuliko jukwaa lingine lolote.

Hata sisi wenye umri wa kutosha kugombea Urais hatufanani miaka pia, wengine hawajapanda Icarus...!
99 watu tunasubiri Y2K nyie ndio mnaanza shule ya msingi??!!! Ndio kwanza mmegraduate kindergarten na wengine ndio kwanza mmegraduate potty! With all due respect though poleni kwa majanga wanangu.
 
Ebu waeleze hawa watoto wanaojiona wana mvi na busara nyingi. Tunabishana na watu tuliowachambisha na kuwafundisha wenyewe jinsi ya kufuta masaburi cha!
Ukikuwa utaacha.
wewe dogo acha upuuzi, mtu mzima anaejitambua na kujielewa hawezi kuandika upumbavu kama wa kwako huo,kama wewe ni mtu mzima ni nini kilichokufanya uchangie thread ya watoto?
wapo watu wazima wenye akili zao timamu wametulia tuli.
 
Kwa mtindo huu ni bora mfanye kitu kingine muachane tu na Maisha maana yana gundu nanyi.
13715975_1793873837494891_8559465626132748423_n.jpg
 
Sasa sisi darasa la kwanza la 2000 ndio tuna bahati

Tulifutiwa ada mwaka wa uchaguzi 2010

Tulipita wote bila mchujo form 2 (hii kuna wengine iliwacost baadae form four)

Tulienda National Service ile yenyewe sio hizi picnic za siku hizi

Na kadhalika
 
1999 uko darasa la kwanza?? Duh kweli age aint nothing but...
 
wewe dogo acha upuuzi, mtu mzima anaejitambua na kujielewa hawezi kuandika upumbavu kama wa kwako huo,kama wewe ni mtu mzima ni nini kilichokufanya uchangie thread ya watoto?
wapo watu wazima wenye akili zao timamu wametulia tuli.
Refer comment yangu ya kwanza, wastage of time and energy kubishana na watoto kama nyie hamjajua hata kuosha makwapa sawa sawa, kanyonye ukojoe ulale.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Refer comment yangu ya kwanza, wastage of time and energy kubishana na watoto kama nyie hamjajua hata kuosha makwapa sawa sawa, kanyonye ukojoe ulale.
kumbe nabishana na binti uliyezaliwa 1985,mimi huo mwaka uliozaliwa ndio nilikuwa nipo darasa la pili.
Acha nyodo wewe mtoto hapa jf thread yoyote inajadiliwa haijalishi ni mtoto au mkubwa.
 
Back
Top Bottom