La kwanza la 1999 tuna nuksi

La kwanza la 1999 tuna nuksi

Refer comment yangu ya kwanza, wastage of time and energy kubishana na watoto kama nyie hamjajua hata kuosha makwapa sawa sawa, kanyonye ukojoe ulale.
HATA KAMA UMEKUWA NA UNA UMRI MKUBWA .... UNAVYO DHIHAKI WATU WENYE UMRI MDOGO KUWA HAWAWEZI KUJADILI KITU NA WEWE NAKUSHANGAA SANA MKUBWA MWENZANGU...... INAWEZEKANA UMEKUWA ILA AKILI YAKO HAIJAKUWA YAANI HAIJAPEVUKA ....... NYIE NDIO MNAKATAA USHAURI WA WATOTO WENU KISA MMETANGULIA KUONA JUA... UNAWEZA KULIONA JUA NA USILIELEWE...... UNAWEZA KUWA UMESOMA ILA HAUJAELIMIKA....
 
wewe dogo acha upuuzi, mtu mzima anaejitambua na kujielewa hawezi kuandika upumbavu kama wa kwako huo,kama wewe ni mtu mzima ni nini kilichokufanya uchangie thread ya watoto?
wapo watu wazima wenye akili zao timamu wametulia tuli.

Umeshamaliza kunyonya? Acha tukubembeleze ulale...Ateteteeee ateteee kasimama peke yakeee bila kushikiliwaaa teteteeetetete, tuimbe abcdefghijk.....ajigijigijigijigijigiiii...tattatata..
 
HATA KAMA UMEKUWA NA UNA UMRI MKUBWA .... UNAVYO DHIHAKI WATU WENYE UMRI MDOGO KUWA HAWAWEZI KUJADILI KITU NA WEWE NAKUSHANGAA SANA MKUBWA MWENZANGU...... INAWEZEKANA UMEKUWA ILA AKILI YAKO HAIJAKUWA YAANI HAIJAPEVUKA ....... NYIE NDIO MNAKATAA USHAURI WA WATOTO WENU KISA MMETANGULIA KUONA JUA... UNAWEZA KULIONA JUA NA USILIELEWE...... UNAWEZA KUWA UMESOMA ILA HAUJAELIMIKA....

Haya mkubwa mwenzao uliepevuka akili na kuelimika nimekusikia, now rudi ulikotokea coz comment yako haibadilishi nilichoandika!
 
Haya mkubwa mwenzao uliepevuka akili na kuelimika nimekusikia, now rudi ulikotokea coz comment yako haibadilishi nilichoandika!
haibadili ulichoandika.....imeshakugonga kwa utosi ngwaaaaaaaa......... imekuingiamo
 
Dah,umeniguse tupo tunasugua mtaani tunaambiwa tusubiri mpaka ukaguzi wa wafanyakazi hewa..
 
Clueless14 kukuwa ni kujielewa,umri ni namba tu.huku mtaani kuna watu wazima lakini hawajakuwa.kwa hiyo mkuu usione hatari kudebate na wadogo zako(huoni bungeni wabunge vijana wanavyowachachafya wazee)hata kule kwenye jukwaa la mahusiano tunaweza kukupa ushauri mzuri tu lol!
Kweli mkuu umri ni namba. Siku hata wao wanakimbilia serengeti boys
 
Hao kundi lingine wanajijua ni madogo kuliko hawa walikuwa wanakula kamasi darasani 99 halafu wanajiona umri wa akina lowassa
Umri ni namba, tunaangalia una nn kichwani. Si unaona wenzako wanavikimbilia viserenget boys.
 
Umeshamaliza kunyonya? Acha tukubembeleze ulale...Ateteteeee ateteee kasimama peke yakeee bila kushikiliwaaa teteteeetetete, tuimbe abcdefghijk.....ajigijigijigijigijigiiii...tattatata..
naona unamuimbia serengeti boy
 
Back
Top Bottom