Kuna mitaa mingi sana kwenye jamii hii usikose kutembelea Mtaa wa Wajasiriamali, Karibu mgeni wetu, mgeni njoo wenyeji tupate mambo mapya !! Unakunywa kinywaji gani?
Pita ndani.
Soft drinks mkuu...
karibu unaonekana una swaga za ki spanish teh teh teh
Hah hah na French pia..wewe unaswaga za wapi?