Samwel0759
Member
- May 27, 2013
- 19
- 11
Kweli pesa kitu ingine, hebu muone huyu mchizi: Mtoto baada ya kupata utajiri akamwambia babae "baba. Sema unachotaka nikulipe ili tucjuane tena" baba akamjibu "nipe mkeo nimnyonye maziwa kama ww ulivyomnyonya mke wangu tena miaka mitatu''