Kwisha habari yake

Kwisha habari yake

Napitia comments hapa, haki ya nani ukija uniambie jukwaa hili ni la great thinkers nakutandika ngumi. Hakuna great thinker wa kutafsiri katuni hiyo kiboya namna hiyo......eti Samia?!!!! Hivi kwa akili ndogo tu hiyo katuni imemzungumzia Samia kweli?!!!

Akili yangu ya darasa la tatu inaniambia hv; mti ulikuwa unakatika (pengine na mkataji huyo huyo) na ulikuwa unakaribia kufilia mbali maana mkataji alikuwa anakaribia kiini na ungeanguka. Ghafla mpumbavu flani mbishi, anayejifanya anajua, ameacha shina anakimbilia juu matawini na kuanza kukata matawi......mbaya zaidi, anakata kule kwenye tawi alilokalia.

Wanaomuunga mkono, ambao kwa muktadha uliopo wa kisiasa tunaweza kusema ni chadema (haya mataputapu ya lissu, hususani ya humu jukwaani), nao ndo wapumbavu kuliko huyo lofa anayekata. Kwanza wamechoka (njaa, tone tone haiendi), pili akili hawana kabisaa kwani hawawezi hata kupiga hesabu (calculate) na kuweza kukadiria wapi hilo lofa lao litaangukia walidake lisife au kuumia. Hao wanaotarajiwa kumdaka ni mfano hai wa hawa nyumbu waliojaa humu, Kila sekunde Wanashusha threads za kumsifu huyo kimbaumbau wao aliyekosa mwelekeo bila kujua muda si muda atakuwa anagoagala chini.

Huu ni uchambuzi wa darasa la tatu.
Kazi ya sanaa ina maana nyingi mkuu, huyo anayekata mti siku ya kwanza mimi nilikisia ni slowslow

Hii aliyoa July 17
1753172281344.jpeg

Unaona hiyo picha ya che nyuma?
 
Mama Samia tunae mpaka Mungu atavyoamua vinginevyo
 
Napitia comments hapa, haki ya nani ukija uniambie jukwaa hili ni la great thinkers nakutandika ngumi. Hakuna great thinker wa kutafsiri katuni hiyo kiboya namna hiyo......eti Samia?!!!! Hivi kwa akili ndogo tu hiyo katuni imemzungumzia Samia kweli?!!!

Akili yangu ya darasa la tatu inaniambia hv; mti ulikuwa unakatika (pengine na mkataji huyo huyo) na ulikuwa unakaribia kufilia mbali maana mkataji alikuwa anakaribia kiini na ungeanguka. Ghafla mpumbavu flani mbishi, anayejifanya anajua, ameacha shina anakimbilia juu matawini na kuanza kukata matawi......mbaya zaidi, anakata kule kwenye tawi alilokalia.

Wanaomuunga mkono, ambao kwa muktadha uliopo wa kisiasa tunaweza kusema ni chadema (haya mataputapu ya lissu, hususani ya humu jukwaani), nao ndo wapumbavu kuliko huyo lofa anayekata. Kwanza wamechoka (njaa, tone tone haiendi), pili akili hawana kabisaa kwani hawawezi hata kupiga hesabu (calculate) na kuweza kukadiria wapi hilo lofa lao litaangukia walidake lisife au kuumia. Hao wanaotarajiwa kumdaka ni mfano hai wa hawa nyumbu waliojaa humu, Kila sekunde Wanashusha threads za kumsifu huyo kimbaumbau wao aliyekosa mwelekeo bila kujua muda si muda atakuwa anagoagala chini.

Huu ni uchambuzi wa darasa la tatu.
Wangekua hawana akili kiasi hicho msingewafungia kinyemela kufanya siasa na kumuweka mwenyekiti wao Gerezani kwa kesi za mchongo
 
Yuko tayari kuua arudi kwenye kiti. Kile kiti kwa katiba yetu mbovu wewe ni alpha na omega. Majaji ,CDF, Spika na wengine wote wana kusujudu hata ikiwezekana kuvunja sheria.
Eeh hii kweli, ila ni hatari na aibu kutenda haya kwa mtu ambaye ni mwanamke....sisi tunayo Imani kwamba kiumbe namba moja mwenye hofu ya kuua au kudhulumu anakuwaga mwanamke....inatufanya tuwe na wasiwasi na jinsia yake yule Bwana😛
 
Back
Top Bottom